Umerudi mkuu katika ubora wakoWANAWAKE KWA FURSA HAWAJAMBO
KAWAIDAUmerudi mkuu katika ubora wako
We umejuaje mkuu?Huyu anaonekana ni mtaalam kuliko Melinda kwa mambo ya chumbani.
Hahahahah mkuu nunua coca weka kabisa panadol nitalipaMapenzi ni starehe, sio vita qumaniner!
Ataishi kwa msaada wa Mungu. Benny Hiny naye aliachana na mkewe alidunda tu japo baada ya miaka walisuluhishwa.Miaka yote hiyo alikuwa wapi mpaka uzee umemfika atakufa mapena uyo sidhani hata mwaka kesho atafika
Mpango wa Mungu sawa ila kupitia mtumishi wake mwene maono nasemaAtaishi kwa msaada wa Mungu.
Benny Hiny naye aliachana na mkewe alidunda tu japo baada ya miaka walisuluhishwa
Huyu anaonekana ni mtaalam kuliko Melinda kwa mambo ya chumbani.
Mtu ameamua kukaa mbali na stress kosa liko wapi.
Hivi mnawajua wanawake wa kizungu walivyo VICHOMI?
i wish i kurudi be IGP... mwendazake
Mbona hakukila alikuwa anazugia
Bill gates alikuwa anampenda mwanamke ambayo hakuweza kumuoa ila Melinda alimruhusu Bill gates ,kuwa na Huyu mwanamke every weekend .mambo ya camila na Diana .Jina lake Ann Winblad
View attachment 1773608
View attachment 1773611
View attachment 1773612
View attachment 1773614
Melinda alikubali kumpea bill gates huyu mwembamba coz alijua wembamba ni sex material so yeye atakuwa wife material then huyu atakuwa kiburudisho cha Bill gates.Bill gates alikuwa anampenda mwanamke ambayo hakuweza kumuoa ila Melinda alimruhusu Bill gates ,kuwa na Huyu mwanamke every weekend .mambo ya camila na Diana .Jina lake Ann Winblad
View attachment 1773608
View attachment 1773611
View attachment 1773612
View attachment 1773614