Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Nilikuwa sijaelewa khaaa yaaan wewee😁😁😁😁
Maisha matamu sana zama hizi! Unakagua gari kwanza ulaji wa mafuta kabla halijaitwa lako, kisha unalihamishia kwako au unawaachia madereva wengine nao wajaribu kama ni madereva wazurikuliko wewe[/QUO
 
Ule wakati Wema alikuwa Wema, shopping za Dubai na kukaa 5* hotel. Alikuwa anapost viatu vya $3,000 insta. Sasa imebaki historia.
Watu huwa wanapata bahat na wanaichezea . Kwa ustar wa wema alitakiwa awe mbali zaidi ya mastaa wa bongo woote kwa utajiri hata kwa mwanaume alitakiwa awe na mwanaume anayejiheshimu na kujitambua.. sio wakina pck khaa yaaan sijui anatutoa ktk issue ya mo au vipi maana mastar wa bongo wakiona kuna issue watz wanaifatilia na wanataka majibu huamua kujidhalilisha tuanze kuwaongea wao. Ila kajichafua kagongwa juzi na jana imelikiiiiii😁😁😁
 
Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
Uyu ana future husband 50 kidogo! Kama kuolewa inakua ngumu, aoe!
 
hakuacha alitemeshwa baada ya skendo kuzidi unajua tena wema anamtajataja tu jamaa linaenda linamtoa
Alaa kumbe walimpiga chini" daah huyo jamaa nae alikuwa ni mkolomije sio bure " kaya chezea mnoo maisha
 
Walosema haolewi kaolewa na naniiiii KAOLEWA.
.
Sisi wanaume huwa mazumbukuku yani janamke limetumikaaaaa weeeee achilia mbali wale usiowajua unakurupuka tu mmekutana hotel au barabarani, huyu celebrity kapigwa sana mwanaume muungwana mwenye roho anaenda kuoa kwanini ndoa isife
 
Na jamaa ana mke na mtoto pia anampenda kweli mkewe..
Walosema haolewi kaolewa na naniiiii KAOLEWA.
.
Sisi wanaume huwa mazumbukuku yani janamke limetumikaaaaa weeeee achilia mbali wale usiowajua unakurupuka tu mmekutana hotel au barabarani, huyu celebrity kapigwa sana mwanaume muungwana mwenye roho anaenda kuoa kwanini ndoa isife
 
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D kweli maana madushe ya kila aina yamepita,ila wema katika list ya wanaume aliyepoteza ni clement wa ikulu maana aimfungulia endless fame ofisi zaidi ya milion 100 hadi receptionist anatumia MACNTOSH,Audi Q7,mjengo wa k/nyama wa milioni 400 samani za ndani kama zote 50m,Mark X,Harrier etc bahati haiji tena.
Uyo tu ndo alimpata wa maana ....wengine mmh mpaka mateja eg jumbeee
 
Back
Top Bottom