Huyu ndio mpenzi nilie nae


Run bi*ch run hakupendi kiukweli umekuwa side chick inawezekana ana familia kabisa huyo
 
Miaka mitatu mmeshindwa kuelewana basi hapo hakuna muafaka mwingine zaidi ya kutafuta utakayeelewana nae
 
Kaa naye mfundishe ni nini unataka na nini hutaki.
Kitandani pia mpe somo km unaona soo kumface mnunulie majalida atasoma.
Generally nenda naye taratibu

Aende nae taratibu miaka mi3!!!!!imekua barabara ya rami toka mpanda kwenda chunya hiyo??
 
Hivi umekaa nae vipi siku zote hizo?
 
Aende nae taratibu miaka mi3!!!!!imekua barabara ya rami toka mpanda kwenda chunya hiyo??

Hapana kitakuwa kipande cha Somanga barabara ya kwenda Mtwara....
 
kuna watu wanakera nyie acha tu mtu anakupigia sim mnaongea sekunde 18 et ni mpenzi..
 
hao wanaume una wa 'french kiss' ni kina nani?
na hapo unapo wa french kiss ndo una prove nini?
lengo lako ni nini?
 
Miaka mitatu si muda mfupi ktk mapenzi, kwa muda huo mtakuwa mmeshazoeana sana, mtoe out muee wawili tu umweleze uliyonayo moyoni kisha umsikilize atasema nini, unless umeshapata mwingine unatafuta sababu.

That's!!!!
 
Sasa Kabla ya Kuwa wapenzi Wewe Ulivutiwa Na Nini Kama Nusu Ya Hyo Yote uliyoyaandika Hana..?
 
Sasa Kabla ya Kuwa wapenzi Wewe Ulivutiwa Na Nini Kama Nusu Ya Hyo Yote uliyoyaandika Hana..?

Nlijua mwanzo tuu..labda hakunizoea nikajpa moyo cku zinavyoenda ata change...but wapii..ni hilo c mtu wa kupokea mabadiliko ghafla..ila ucnambie kwamba niongeze mitatu mingine labda ata change "NO"...enough is enough!!
 
Hayo mapungufu anayo tangu mwaka wa kwanza au yameibuka karibuni?
Kama ni ya siku nyingi naomba nikutunuku nishani ya uvumilivu.
Matarumbeta mbona hamchagizi hapa mheshimiwa anatunuku mtu nishani au za huku hazina matarumbeta
 
Hivi umekaa nae vipi siku zote hizo?
Hajajibu hilo swali hivi inawezekana eti mwaka unaisha hayo yote hayapati na akawa yupo tu? kama ndo hivyo kuna benefiti alikuwa anapata, kama haipo benefit basi alikuwa yupo kwenye mapenzi kwa ajili gani, lakin nahisi ni utoto miaka 19 ndo ameanza mapenz saiz ana miaka 22 kuna sehemu amepata utamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…