Huyu ndio mpenzi nilie nae

pole sana .....unanifanya nimmis my T jamani tarehe 24 mbaliiiiiiiii...ananidekeza kama mtoto yani....im missing uuuuuuuuuuuuuuu!
 
Ktk ukurasa mpya, usipige mstari wa pambizo kwa rula
 
kwa ufupi lady yoruba, huyo mshikaji anakutumia tu, na anakuchukulia kawaida sana sababu yote uliyoyataja hapo juu wewe mwenyewe hunayo.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu lady yoruba Samaki akishavuliwa kutoka majini hadi nchi kavu hahitaji kupewa chambo tena!
 
Last edited by a moderator:
pole sana .....unanifanya nimmis my T jamani tarehe 24 mbaliiiiiiiii...ananidekeza kama mtoto yani....im missing uuuuuuuuuuuuuuu!

Teh teh namtafuta huyo T nithibitishe kama ya kweli haya
 
kwa ufupi lady yoruba, huyo mshikaji anakutumia tu, na anakuchukulia kawaida sana sababu yote uliyoyataja hapo juu wewe mwenyewe hunayo.....

Kwa mara ya kwanza nimeona umecomment zaidi ya msitari mmoja
 
Last edited by a moderator:
HAKUNA MAHUSIANO SAHIHI
ila watu wawili ndio huyafanya yawe sahihi kwa kiwango flani

ushawahi zungumza nae mambo usiyoyapenda na ni yapi unataka yafanyike???

Haswaaah!!! Napenda kumshirkisha saana mambo yangu na kuwa muwazi kwa jambo nilipendalo na niclolipenda..ndo kawaida yangu
 
Haswaaah!!! Napenda kumshirkisha saana mambo yangu na kuwa muwazi kwa jambo nilipendalo na niclolipenda..ndo kawaida yangu

aisee pima mwenyewe ki ukweli hapo nashindwa kusema neno kama mwanaume habadiliki let him goo
may be Mungu hakuoanga muwe pamoja
 

Ahsante umenivutia ila natamani ningekaa na ww tukaongea face to face nikiabdika humu ntachoka mm, pengine nikwambie tuu mm co tegemezi ni mjasiriamali na mwajiriwa wa kampuni flani tena cna desturi ya kumwomba hata hela ya pedi na sanasana labda yy aniombe mm cjicfu ila ndo hali halic mkuu
 

He is "Mr never told" ndo mana nkaamua kuja huku after 3yrs ya mahucano yetu..
 
Kwa hayo machache uliyoyaorodhesha hapa....haihitaji hata kuwa na degree kujua kuwa huyo mpenzi wako ni mtu wa aina gani......kimsingi ni kuwa huyo hawara yako ameshakiuka misingi na nguzo za upendo ambazo ni kujaliana, kuthaminiana na kusaidiana miongoni mwa wapendanao....kwa maana hiyo amepoteza sifa za kuwa mpenzi wako...na nitakuwa sijakosea kama nikisema kuwa huyo bwana hakupendi na haupo kwenye mipango yake isipokuwa amekufanya kama KIPOZEO....ninachokushauri ni kwamba usitoe hukumu ya upande mmoja huyu nae ni binaadamu huenda labda ana mambo yamemtinga so ndio maana yupo hivyo...tafuta muda muongelee hili swala mpaka mfikie muafaka....Vile vile inawezekana ikawa wewe pia bila kujijua ukawa ni sehemu au ni moja ya sababu ya yeye kuwa hivyo nakushauri pia na wewe ujiangalie vizuri pamoja na historia ya mahusiano yenu kwamba hiyo tabia imezuka tu hivi karibuni au ilikuwapo kabla na uliwezaje kuvumilia mpaka leo uje uone kuwa ni kero....maana kukaa kwenye uhawara kwa miaka mitatu ni mingi sana.....vile vile kumbuka muda ni bidhaa adimu sana ambayo ikishauzwa huwa hairudishwi kwa hiyo huna budi kuwa nao makini sana.....usipende kukaa na jambo muda mrefu bila kulitafutia ufumbuzi kwa huo muda unaoupoteza hautaupata tena....THINK BIG ,TAKE ACTION..........WELCOME JF........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…