Huyu ndio kura yangu

ndio demokrasia, mpe kura yako, kila mtu ana mtu wake
 
Huyo ni chaguo la watanzania wanaotaka maendeleo na wanaopinga ufisadi
 
Tunaishi nchi ya kidemokrasia na una uhuru kamili wa kuchagua ye yote unayemwona anafaa hata kama ni fisadi potelea mbali. Uchaguzi ni wako!
 
Ivi mtu unaweza kuwa na akili timamu na unajielewa vizuri afu ukaipenda CCM!!?.....unajua me huwa nashanga sana?.
Aisee tunaitaji kusoma sana kama watz ili kuelewe vizuri mambo...kaa!!!
 
Ivi mtu unaweza kuwa na akili timamu na unajielewa vizuri afu ukaipenda CCM!!?.....unajua me huwa nashanga sana?.
Aisee tunaitaji kusoma sana kama watz ili kuelewe vizuri mambo...kaa!!!
Unavyoshangaa na wengine nao wanakushangaa kwa jinsi unavyoweza kupenda CCM B. Haya mambo yanataka uvumilivu na ukomavu wa kisiasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…