Huyu ndio Kikwete bwana!

sory am not mama, am father,, hiv unavyofikiri hizo pesa zinatoka bila rais kujua? hakuna nchi inayojiendesha kwa kodi zake pekee ninamaana ugali maharage miksa chapati nouma sana

You cant be a father! You must be joking, don't mess with us please.
 
Ndio umeandika NINI!
 
sory am not mama, am father,, hiv unavyofikiri hizo pesa zinatoka bila rais kujua? hakuna nchi inayojiendesha kwa kodi zake pekee ninamaana ugali maharage miksa chapati nouma sana

Tatizo lako ni kuwa hujiamini mkuu. Hicho unachosema kuwa hakuna nchi inajiendesha kwa kodi zake unaamanisha nchi zote zinaishi kwa kuombaomba? Mbona unakariri na kuishi maisha ya kuiga kila kitu? Kama hakuna nchi inaweza kuishi kwa kodi zake zenyewe, Tanzania tunaweza tukiamua.
 
heri ya wajinga kuliko wasema uongo,

kipindi hao wanajibinafsisha wewe ulikuwa wapi?
 
sory am not mama, am father,, hiv unavyofikiri hizo pesa zinatoka bila rais kujua? hakuna nchi inayojiendesha kwa kodi zake pekee ninamaana ugali maharage miksa chapati nouma sana
Unajua wakati wa uongozi wa mahabuba wako JK deni la taifa lilipanda kiasi gani? Unajua kama yaliyofanywa hayafanani na deni alilokopa huko 'alikonkitembea'?

Unajua kwa raslimali zetu asingetakiwa kukopa hivyo?

Nchi inaweza kuniendesha kwa mapato yake ikiamua espeshali kama imejaaliwa kama yetu
 
Kama ndio hivyo basi futa uzi huu upeleke sehemu nyingine kusikutakiwa kufikiri kabla ya kuandika. Hapa ni JF and is only for GREAT THINKERS. UNFORTUNATELY YOU ARE NOT ONE OF THEM !
pia nikijisikia kufuta nitafuta..wala mapovu yasikutoke
 
açha upuuzi, pesa hazikuwa za kikwete wala magu, ni kodi zetu. Jiulize ithiopia imejenga miundombinu ya hali ya juu mbona rais Wao haishi angani Kama jk?
 
umemjibu vizuri mkuu, ndo maana nkasema huyu kijana elimu yake imekoma hapo kwamba kila maendeleo ni kodi za wananchi,,ajiulize china pamoja na maendeleo waliyonayo wanafata nini benki ya dunia WB
 
Mada nzuri lakini nikuulize, unafikiri Magufuli kashinda sababu ya kujenga barabara? Je unafikiri ccm wangemsimamisha mtu mwingine leo hasingekua raisi? Je unafikiri Magufuli kawekwa na kura za watanzania walio wengi? Unajua kuna vyama ata liwekwe jiwe litafanyiwa mbinu litashinda tu, ikumbukwe ushindi upo kwenye tume kwa hapa Tanzania, how mimi sijui tafuta mwenyewe.
 
açha upuuzi, pesa hazikuwa za kikwete wala magu, ni kodi zetu. Jiulize ithiopia imejenga miundombinu ya hali ya juu mbona rais Wao haishi angani Kama jk?
ithiopia=ETHIOPIA, AFU SIKU NYINGINE KABLA hujapost hakikisha maneno yako..nchi za afrika bajeti zao zinategemea wahisani jiongeze kijana,,usiwe kama mzee
 
Haya makitu ya aina hii sijui yalizaliwa ili iweje! Ni kubania watu wenye akili zao hewa tu.
 
nafikiri ulishawahi kupiga kura? uchaguzi wowote lazima uwe na figisufigisu, sasa kama hatopatikana mtu anayeweza kuyashinda hivyo figisufigisu utaangukia pua.. unawezakuwa umeshinda lkn hakuna atayesimamia huo ushindi wako lazima uangukie pua..

sio kwamba magufur kateuliwa kwa ajili ya barabara tu, bali nilitaka uelewe yeye alikuwa waziri wa ujenzi sasa mambo yote ya miundombinu yapo chini yake,, lazima ujiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…