Huyu ndio Kikwete bwana!

Daaah hii ndo elimu yetu Tanzania, unashindwa kutambua hata kodi ya wananchi ndo inayotumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo afu unasema kikwete eti alikuwa anatembea ili apate hela na kumpa JPM ajenge barabara, mda mwingne tufikiri kwa undani kabla ya kuandika kitu chochote, nyie ndo wale hata sakata la escrow mnajua zile fedha sio za wananchi.....think big brother
 
nafikiri hapo ndo mwisho wako wa kuelimika sikulaumu, nchi gani duniani inajiendesha kwa kodi zake pekee? usinipe jipu
 
nafikiri hapo ndo mwisho wako wa kuelimika sikulaumu, nchi gani duniani inajiendesha kwa kodi zake pekee? usinipe jipu

Acha woga jibu hoja dogo. Unajifanya kuandika kwa kuotea sana. Yaan wewe kila kitu unaotea??
 
hoja gani unataka niijibu? wakat hakuna hoja yoyote

Unadai kuwa Kikwete alikua anampa waziri hela ya kujenga barabara as if alikua anatoa mshahara wake, tambua kua ile ni kodi yako. Acha hofu na mihemko dogo!! Pia unavyosema hakuna nchi inajiendesha kwa mapato yake yenyewe una maana gani mama??!
 
Siwezi kubishana na mtu asiye elewa maana ya kodi ya wananchi, endelea kuamini hivo kuwa kutembea sana kwa kikwete ndo kupata maendeleo nchini, JPM mbona hatembei na kuna vitu vizuri vinaanza kuonekana? Mbona enzi za kikwete vitanda hospitalini watu walikuwa wakilala chini, rushwa chungu nzima, kujibinafsisha mali za umma, gape kati ya walio nacho na wasio nacho kuongezeka fikiri kwa undani kaka kikwete alikuwa anatembea lakini nyuma yake ni miradi ya upigaji hakuna chochote
 
hamna nilichowaza nimejikuta tu!!! imetokea
Kama ndio hivyo basi futa uzi huu upeleke sehemu nyingine kusikutakiwa kufikiri kabla ya kuandika. Hapa ni JF and is only for GREAT THINKERS. UNFORTUNATELY YOU ARE NOT ONE OF THEM !
 
Haswaa umenena mkuu
 

Acha mihemko kwanza, andika kama unajielewa mama. Hoja hapa ni wewe kukariri kuwa JK alikua anampa JPM hela ya kujenga barabara, Hujui hata kuwa kuna maswala ya budget na miradi mingi ilitegemea budget ambayo JK hakuwahi kuipanga ila Bunge. Kama huelewi tena, pita hivii..................
 
Unadai kuwa Kikwete alikua anampa waziri hela ya kujenga barabara as if alikua anatoa mshahara wake, tambua kua ile ni kodi yako. Acha hofu na mihemko dogo!! Pia unavyosema hakuna nchi inajiendesha kwa mapato yake yenyewe una maana gani mama??!
sory am not mama, am father,, hiv unavyofikiri hizo pesa zinatoka bila rais kujua? hakuna nchi inayojiendesha kwa kodi zake pekee ninamaana ugali maharage miksa chapati nouma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…