Huyu ndio John Heche

Hizo nonsense wapelekee wajinga wenzio huko lumumba
 
100% sahihi
Umesema kweli
 
Kabisa
Na sitakushambulia wewe mtoa mada, bali nitazishambulia hoja zako
 
Nyinyi mwisho wenu ni 2030 uchawa wote unakwisha.
 
alifilisika pension yake yote ya ubunge kwa kubeti,
na juzi ameshindwa kulipia ushuru wa Crown akajikuta anapiga mayowe tu mitandaoni kuomba msaada lakini wapi
 
Sawa mkuu umeelweka. Kama comment yangu ilikukwaza basi ipotezee. No offense intended
 
Namquote Chid Benz, "Ni Marufuku kabisa mwanaume kuzumzungmzia mwanaume mwenzio kwa namna yoyote ile kwani hiyo ni hatua mbaya sana ya Ubwabwa."
 
Umeandika usenge mwingi sana itapendeza zaidi ukiwashirikisha wapumbavu wenzako wa lumumba.
 
Heche amekuwa jaji mkuu sasa hivi mpaka ashindwe kupeleka kesi ya Lissu mahakamani?
Kama yeye anafaidika kwa kitendo cha Lissu kuwa mahabusu,si mumwachie Lissu ili kumkomoa Heche,na hili Heche ameshawaambia.
 
Wewe ni matako kweli
 
Takataka
 
Mwashambwa mwingine Wewe!
 
People of Simple minds always discuss people!
Leta hoja zenye nguvu kupinga hoja zake!
Comment za wengi zimejawa na hasira na hakika hii yako iko na utulivu ..

Ukisema hukubaliani na mtu leta hoja ambazo hukubaliani nazo na uwe na hoja vilevile unazoona ni bora kushinda za mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…