Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Hizo hukumu ziko.kwenye vitabu vya sheria au alikuwa akizitunga tu kichwani kwake?
Mimi namuona huyo hakimu mjinga tu sababu hizo hukumu.haziko kwenye vitabu vya sheria popote duniani
Ungekoment tofauti na hivi ningekichoma sindano ya corona.
Kwenu hakimu mzuri ni yule anayefata maagizo kutoka juu.