Huyu ndio demu asiyeeleweka

Huyu ndio demu asiyeeleweka

Hivi kumbe bado kuna watu wanatongoza?nway hawa hua wanaliwa kimasihara. Anajikuta tu keshaliwa.
 
Mkuu, sio kila demu anayekuangalia au anayekukazia macho kwa wasi wasi basi anahisia na ww. Wengine wanakuwa wanajamba. Pale anavyokuwa amekukazia macho, muda huo huo anakuwa anajamba taratibu taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama amepewa umbea wake je na hafananii!!!?
 
Huyo atakuwa na file lako amepewa na hao wapangaji wenzako. Linaweza kuwa zuri au chafu kwahiyo anashangaa ndio huyu kweli??

Chunguza vizuri mkuu. Usijekuwa umepewa sifa ambazo huna either ni nzuri au mbaya.
 
Haha acha mawazo ya kizamani huyo ameshakukataa blaza, alafu kuhusu anavyokutazama pengiine ndio style yake ya kutizama, ukahisi unapendwa kumbe wapi. [emoji23][emoji23][emoji3]
 
Kama una nia ya dhati kumpata huyo demu basi fanya hivi usumkasirikie wala kumkaushia kuongea nae ukimuona, unatakiwa umfanye akuone wewe ni mtu mwenye hadhi kubwa zaidi yake au kwa lugha nyingine akuogope, alafu pia kwenye mazungumzo nae sio kila kitu atakachokisema umsapoti vitu vingine mpinge ili mazungumzo yawe marefu na hii itapelekea akuone tofauti cuz wanaume wengi tunapenda kusapoti kila wanachokisema, alafu pia fanya kila anapokua na wewe tabasamu lisipotee usoni pake kwa Lugha nyingine mashavu yatapakae machozi ya furaha. Ukifanya haya yote kwa makini huyo demu unamla bila hata kutongoza tena Fanya hivo make sure kila siku mnaongea hata kama hakuanzi yeye anzisha maongezi wewe ndani ya wiki mbili unampata, alafu choice itakua yako ya kumfanya demu wako au sex buddy cuz Yeye hatakua na Choice tena cuz ashakupenda.. [emoji23] Cheza na feeling zake tu unampata.
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna demu mmoja ni Mpangaji mwenzangu hapa tulipopanga tumepanga wengi sasa Huyo demu ni pisi Kali kinoma toka ameamia ana mwezi mmoja.

Sasa wadau wengi wameshamtongoza anawakataa tu, sasa demu kila nikikutana nae amekuwa akinitazama kwa uoga mbaya zaidi amekuwa akiniangalia sana hali hii ikanifanya nimuombe Namba akanipa

Sasa katika kuchati nikamchana kuwa na muelewa daaah demu akachomoaa kinoma ikabidi nimpotezee

Sasa hivi sasa anazidi tu kuniangalia sana inaonekana kama ananieelewa ila pia anazingua

Wadau nitumie mbinu ipi?
Jitahidi tu upate namba yake ya NIDA basi utakua ushampata
 
Back
Top Bottom