Huyu ndio binti Komando

Huyu ndio binti Komando

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
22.jpg
 
Heshima kitu cha bure!!!!
Huwa nakuchukulia kama mtu mwenye nidhamu wewe NAPITA
 
Last edited by a moderator:
nadhani amemaanisha kapita kwenye kinyampasira.

Mimi sijasema na wala sina maana yeyete juu ya baadhi yenu mnavyofikilia ni kichwa cha habari nimeamua kiwe hivyo baada ya vichwa vya habari vinavyohusu uzuri kuwa vingi tafadhalini sana msije nikosanisha na watu humu.
 
Si wako wote bado? Kwaio ingetakiwa iwe Gadner kapaki. Anyways NAPITA ana busara kaomba asitafsiriwe tofauti. Lets respect his wishes.
Halaf mods walivo wa ajabu hawana mpango lakini nyamgluu sasa aanzishe thread hapa! DELETE!!
 
Kama pcha ni ya karibuni...jamaa atakuwa anasema''daamn!..did i really file for divorce?!"
 
Msimzinguwe mtoa mada..yuko sahihi.

Gadner kapita ndio...kachapa hiyo mashine kaimwaga kisha kasepa...thats a fact. Au mulitaka asemeje? Kwamba ngoma ya gadner?....huyo ni x wa gadner...kachapa imelala kasepa.

But mzigo kama huo kuumega ilikuwa inahitaji moyo ka wa mwendawazimu vile...mie namkubali nyimbo zake tu na struggle zake kwenye maisha na ubishi wa dar....ila likija suala la kummiliki dahh...ngumu sana aisee.

Pamoja komandooooo.....aje adui mwingine
 
aisee kujua mashine nzuri unaangalia sura mkuu? kuna mademu wanasura nzuri mashine haifai acha kabisa nisiseme mengi..... gadner alitulia sema kwa kuwa binadamu tunahulka ya kuchoka ndiyo kachoka kasepa ... its nature okey
 
Msimzinguwe mtoa mada..yuko sahihi.

Gadner kapita ndio...kachapa hiyo mashine kaimwaga kisha kasepa...thats a fact. Au mulitaka asemeje? Kwamba ngoma ya gadner?....huyo ni x wa gadner...kachapa imelala kasepa.

But mzigo kama huo kuumega ilikuwa inahitaji moyo ka wa mwendawazimu vile...mie namkubali nyimbo zake tu na struggle zake kwenye maisha na ubishi wa dar....ila likija suala la kummiliki dahh...ngumu sana aisee.

Pamoja komandooooo.....aje adui mwingine

!
!
mkurugenzi hebu nitoe usingizini. Ina maana Gadner na Jide sio mke na mume tena?.......hebu rudi tafadhali sana. Habari hii ya lini?
 
Back
Top Bottom