bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Michael Joseph Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka ,1958, huko Gary, Indiana marekani.
Michael Jackson alikuwa Ni mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, dancer Na muigizaji, Na pia alipewa jina mfalme wa pop Kama heshima kutokana Na uimbaji wake Na uchezaji wake.
Michael Jackson alifariki mnamo mwaka 2009 June 25 huko los Angeles California,huko marekani, kifo chake kilisababishwa Na kuzidisha madawa kwa wingi,Michael ameacha watoto watatu.
Tetesi za kifo chake kimevunja rekodi ya mtandao Na kusababisha msongamano mtandaoni kwa kuwapa tabu Google, twitter,facebook Na yahoo msongamano mkubwa wa utafutaji wa habari zake.
Mazishi yake yalivunja rekodi ambapo zaidi ya watazamaji milioni 31.1 huko marekani walikuwa wanafatulia mazishi yake moja kwa moja ambapo Ni karibu Na watu milioni 35.1waliokuwa wanafatilia mazishi ya raisi wa zamani wa marekani Ronald Reagan mwaka 2004, ukilinganisha pia Na watazamaji milioni 33.1 katika mazishi ya princess Diana mnamo mwaka 1997.

Attachments
-
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_Michael_Jackson_in_1988.jpg14.4 KB · Views: 111
-
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images(7).jpg2.9 KB · Views: 91
-
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_Thrillerspecial.jpg6.9 KB · Views: 106
-
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_220px-Michael_Jackson_Star.jpg10.6 KB · Views: 103
-
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_220px-Forest_Lawn2010.jpg8.5 KB · Views: 78