Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,463 Apr 11, 2020 #1 Jina halisi: Nasibu Abdul. Umri: 30 years. Mtanzania maarufu zaidi huko duniani. Kijana mpambanaji zaidi katika historia ya tanzania. Mtanzania anaefuatiliwa zaid dunian kupitia platform na social network. Anamiliki label kubwa zaid afrika. Anamiliki label maarufu zaid afrika. Youtube king wa wasanii wakubwa africa. Msanii mwenye show nyingi zaidi Africa. Parfomer mkubwa zaid afrika. Msanii mwenye tuzo nyingi zaidi afrika. Mengine mtaongezea bt haters mkagoogle ili mje mpinge kwa data.
Jina halisi: Nasibu Abdul. Umri: 30 years. Mtanzania maarufu zaidi huko duniani. Kijana mpambanaji zaidi katika historia ya tanzania. Mtanzania anaefuatiliwa zaid dunian kupitia platform na social network. Anamiliki label kubwa zaid afrika. Anamiliki label maarufu zaid afrika. Youtube king wa wasanii wakubwa africa. Msanii mwenye show nyingi zaidi Africa. Parfomer mkubwa zaid afrika. Msanii mwenye tuzo nyingi zaidi afrika. Mengine mtaongezea bt haters mkagoogle ili mje mpinge kwa data.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Apr 11, 2020 #2 Msanii mwenye skendo nying duniani
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,329 Reaction score 22,272 Apr 11, 2020 #3 # Ni msanii ambaye aliwahi kuiba penseli ya mwenzake na akamsaidia kutafuta.
mcrounmj JF-Expert Member Joined Feb 26, 2016 Posts 379 Reaction score 891 Apr 11, 2020 #5 Ni mpambanaji, mbunifu, anaejituma na asiyekata tamaa. Ameanza from scratch na leo ni milionea, very inspired man! Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpambanaji, mbunifu, anaejituma na asiyekata tamaa. Ameanza from scratch na leo ni milionea, very inspired man! Sent using Jamii Forums mobile app
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,791 Reaction score 86,539 Apr 11, 2020 #6 Ndie msanii mwenye mdomo kushinda wenzake
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,157 Reaction score 10,816 Apr 11, 2020 #7 Uko sahihi kabisa Ila wako wanaopendwa pia, acha demokrasia ya mioyo na asili ya binadamu iamue na iruhusu kupenda wengine pia Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba
Uko sahihi kabisa Ila wako wanaopendwa pia, acha demokrasia ya mioyo na asili ya binadamu iamue na iruhusu kupenda wengine pia Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,329 Reaction score 22,272 Apr 11, 2020 #8 Waberoya said: Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba Click to expand... Unampenda kivipi mkuu? Ebu tuweke sawa kidogo.
Waberoya said: Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba Click to expand... Unampenda kivipi mkuu? Ebu tuweke sawa kidogo.
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,029 Reaction score 23,695 Apr 11, 2020 #9 Waberoya said: I Uko sahihi kabisa Ila wako wanaopendwa pia, acha demokrasia ya mioyo na asili ya binadamu iamue na iruhusu kupenda wengine pia Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba Click to expand... Yah demokrasia ya kuchagua mwanamziki unayempenda lazima iwepo na pia iheshimiwe tatizo kubwa la mashabiki wa bongo lipo kwenye kulazimisha msanii anayempenda aonekane ni Bora ndo hapo Kuna kuwa na uteam.
Waberoya said: I Uko sahihi kabisa Ila wako wanaopendwa pia, acha demokrasia ya mioyo na asili ya binadamu iamue na iruhusu kupenda wengine pia Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba Click to expand... Yah demokrasia ya kuchagua mwanamziki unayempenda lazima iwepo na pia iheshimiwe tatizo kubwa la mashabiki wa bongo lipo kwenye kulazimisha msanii anayempenda aonekane ni Bora ndo hapo Kuna kuwa na uteam.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Apr 11, 2020 #10 Msanii mwenye baby mamaz wengi kuliko wote Africa (Sina uhakika)
Tea Party JF-Expert Member Joined Oct 5, 2019 Posts 523 Reaction score 1,140 Apr 11, 2020 #11 Bila kusahau The Second most subscribed African Artist on YouTube Namkubali mdau
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Apr 11, 2020 #13 Yes.... diamond yuko juu mawinguni kiusanii anaongoza afrika....
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,445 Apr 11, 2020 #14 Mfano wa kuigwa katika kuchapa kazi kwa ubunifu na weredi.
davie dee JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 934 Reaction score 1,214 Apr 11, 2020 #15 Ndiye msanii anae ongoza kupiga show za vichochoroni ulaya
Robidinyo JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 4,069 Reaction score 8,751 Apr 11, 2020 #16 Ndiye Omusanii Anaeongoza Kucopy Copy nyimbo Africa
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Apr 11, 2020 #17 Jile79 said: Yes.... diamond yuko juu mawinguni kiusanii anaongoza afrika.... Click to expand... anaongoza duniani. Sent using Jamii Forums mobile app
Jile79 said: Yes.... diamond yuko juu mawinguni kiusanii anaongoza afrika.... Click to expand... anaongoza duniani. Sent using Jamii Forums mobile app
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,157 Reaction score 10,816 Apr 11, 2020 #18 mcrounmj said: Ni mpambanaji, mbunifu, anaejituma na asiyekata tamaa. Ameanza from scratch na leo ni milionea, very inspired man! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Fighter Get rich or die tryin
mcrounmj said: Ni mpambanaji, mbunifu, anaejituma na asiyekata tamaa. Ameanza from scratch na leo ni milionea, very inspired man! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Fighter Get rich or die tryin