Huyu naye anajiuza tu

Huyu naye anajiuza tu

Tofauti iliyopo kati ya yule mwanamke anayekubali kuingia kwenye mahusiano au ndoa kabisa kwa sababu anataka kujimudu kiuchumi kutoka kwa mwanaume wake, na yule mwanamke aliyejitegesha kwenye danguro usiku akijiuza mwili wake kwa wanaume wapita njia ili alipwe kwa huduma yake... ni ndogo sana.. ila hawa wote ni MALAYA.

Tofauti yao ni ule mstari unaomtenganisha mbadhilifu wa mali za umma kwa kutumia document za ofisini [ huwa wanamuita Fisadi ] na yule mtu ayevunja banda la kuku usiku kwenye nyumba ya jirani na kuondoka nao [ huwa wanamuita Kibaka ].. ila hawa wote ni WEZI.
Are you sure your mother is not included in that category!
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya mwanamke aliyetembea na wanaume watano, na mwanamke aliyetembea mara tano na mwanaume mmoja.
Hebu wanamahesabu nisaidieni ku-derive equation za hao wanawake wawili, tuone kama majibu yatakuwa tofauti.
 
Tofauti ipo Mkuu mwanamke alie gegedwa mara tano na mwanaume mmoja morphology yake haijabadilika kama mwanamke alie gegedwa na vidume vitano tofauti.
 
watu ambao mko negative kuhusu wanawake huwa hamuoi,

na mkioa ndoa zenu hazina furaha,

pole we,kama ushawahi kuwa na mahusiano Zaidi ya mmoja,then na wewe ni ma..la..ya tu!
 
Tofauti ipo Mkuu mwanamke alie gegedwa mara tano na mwanaume mmoja morphology yake haijabadilika kama mwanamke alie gegedwa na vidume vitano tofauti.
Mkuu, huo ni uongo mkuu. Kinachobadilika ni mind yako. Kama issue ya kandambili kufanana na mwenye kandambili.
 
watu ambao mko negative kuhusu wanawake huwa hamuoi,

na mkioa ndoa zenu hazina furaha,

pole we,kama ushawahi kuwa na mahusiano Zaidi ya mmoja,then na wewe ni ma..la..ya tu!
Jina la malaya.. ni kwa ajili ya wanawake tu
 
Kwa mantik ya kujikwamua kiuchumi wote ni malaya,. lakin malaya halis ni yule anaefanya tendo la ndoa na mwanaume zaid ya mmoja.
huyo kakosea,siyo wote malaya ila wote wanajiuza,kujiuza si dhambi ila kuzini ndo dhambi
 
Acha wazitumie tu kwani zinakazi gani? hazifui,hazideki wala hazioshi viombo kazi yake ni moja tu kwann visiifanye kwa stareh bhan mbona miguu ikitembea sana hamuipi jina????
 
Back
Top Bottom