Huyu naye anafaa katika jamii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu naye anafaa katika jamii?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Benno, May 4, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau,
  Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO  Soma hapa nimecopy kama yalivyo

  Mizigo mingine kichefuchefu sana tuu, milimtongozaga mume wangu facebook
  nikajiweka mtu mwingine no ya simu alitoa, offer ya kunipick nikapewa tena kwa
  gari tuliyonunua wote na nikaambiwa nategema kuenda kikazi mahali kwa muda wa
  week moja sikuamini na macho yangu wanaume wengine viazi mtu humjui hujui tabia
  zake tena facebook bado unajiandaa kutoa mdudu wako ka si HIV ninini. soma
  nyaraka mama mijiwanaume mingine ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana full stop
  .
  Je anafaa katika jamii???????
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nani sasa anafaa???Mwanume anaedata na asiyemjua fesibuku au dada aliyemdatisha mume na kutoa ushuhuda???

  Ndoa hizi jamani.....kaaazi kweli kweli!
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Benno uliza swali vizuri sasa nani unayemlenga hapo mdada au mwanaume???
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe Benno hebu acha kupitapita kwenye blog za kike. Huko kumejaa umbea tu, wewe unaenda kutafuta nini huko???
   
 5. B

  Benno JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sina swali zuri zaidi ya hilo, Na nimeweka hii kitu watu wapanue mawazo. Kuna vijitabia ambukizi ambavyo vinasumbua sana Vijana. Navyo ni muhimu kuvielewa vyanzo vyake na ukisoma vizuri kuna mengi ya kujifunza kwani kupitia mitandao watu wanafanikisha malengo mengi ndio maana halisi ya Social Network
  _____________________________________________________________

  sina busara usijiunge nami kuna hatari ukapungikiwa busara ulizonazo
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nilichojifunza hapo Benno ni kuwa kuna ways nyingi za kumkamata wife/husband/ partner cheater, mojawapo ni ku date nae through facebook kutumia jina fake. Haaa. Unamkamata utamu.
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo wote hawafai!
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  asiyefaa ni mwanaume hapo,mwanamke anafaa sana tu..:bange:
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  HTML:
  Soma hapa nimecopy kama yalivyo
   
   Mizigo mingine kichefuchefu sana tuu, milimtongozaga mume wangu facebook
  nikajiweka mtu mwingine no ya simu alitoa, offer ya kunipick nikapewa tena kwa
  gari tuliyonunua wote na nikaambiwa nategema kuenda kikazi mahali kwa muda wa
  week moja sikuamini na macho yangu wanaume wengine viazi mtu humjui hujui tabia
  zake tena facebook bado unajiandaa kutoa mdudu wako ka si HIV ninini. soma
  nyaraka mama mijiwanaume mingine ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana full stop.
   
   
   
   
  Je anafaa katika jamii???????   
  Wote hawafai kwa sababu mpaka jamaa yako kafika huko ujue ya kuwa ana mushkeli mkubwa na wewe..................you are not compatible, to put it mildly..........................

  ila hii riwaya inanitia mashaka ya kuwa huyu njemba yaelekea alikuwa anatosa ndoana tu haimaanishi ya kuwa lazima angefuatilia kila kitu mpaka afike mwisho wake............................hiki siyo kipimo sahihi cha infi................ya mzee wake.......ninamshauri mama huyu arudi kwa nyumba na kumpigia mzee magoti kwa kumdhalilisha ......................
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Duh! Dada alikua na hasira..... I hope hakumjeruhi mume siku hiyo....
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  So typical of men kuteteana, hapo iko wazi kabisa, jamaa mpaka aliaga in advance...
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  HTML:
  So typical of men kuteteana, hapo iko wazi kabisa, jamaa mpaka aliaga in advance...
  kuaga hakuna shida badi hajafumaniwa ila kawekwa kwenye mtego...............................wewe unakwenda kumjaribu mzee wako sasa wategemea afanye nini? It takes two to rumble...............................................
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  HTML:
  Wadau,
  Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO
  hivi kwenye mapenzi dada zetu ni abiria tu..........wa kupelekeshwa watakako au hata wasikotaka?
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Huyo dada si mtoto mdogo wala si mjinga, unaunganisha one and one makes two... Mi naamini kabisa the guy alitaka kwenda akakutane na huyo dada. Sisemi what the lady did was right, maana hizo ni presha za kujitakia - mwanaume wake ni flesh and blood na lijali i believe; anategemea mwanamke amtongoze akatae? inajulikana kabisa wanaume wanapenda variety hivyo posibility ya kumtega kwa njia hiyo ilikua kubwa. Alafu bahati mbaya sana unaweza kuta the guy hata hakuwahi toka nje, na yeye mwenyewe mwanamke akampandikiza hilo wazo akilini.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kuna wale ambao ni abiria, na kuna wale wanaojifanya abiria na kuna madereva na wanaojifanya madereva pia.... Variety
   
 16. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nani sasa anafaa mke au mume?
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  rule number one: usimtege mwenzio,unaingia fesibuku na jina feki inahusu?
  rule number two: usimpekenyue mwenzio,wallet yake,hand bag lake,simu yake,usiguse
  rule number three: usilolijua ni usiku wa giza
  rule number four: mapenzi ni kikohozi,uhitaji kumvizia mwenzio fb ujue ana cheat,aki fall kwa mwingine utajua tu.
  rule number five: mla mla leo,wa jana kala nini,achana na historia ya mwenzio
  rule number six: ulimpenda,ndo mana uliingia naye kwenye ndoa
  rule number seven: ndoa sio extended holiday,ina suluba zake
  rule number eight: mkataa pema pabaya pamungoja,we mchokonoe tu mkiachana ndo utajua....
  rule number nine:ningejua,ningejua,huja baada ya mkasa
  finaly rule namba ten:refer to rule namba one
   
 18. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rutashubanyuma hapo unakosea kwani kutest mwenzako uaminifu wake ni kosa? Jamaa kaonyesha udhaifu wake na atakuwa mshamba tu, wanaume wajanja siku hizi zikitokea hizo wanahisi ni wake zao hivo wanajifanya kutukana mbaya mpaka mke atajiona choo
   
 19. VISIONEER

  VISIONEER Senior Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeitoa uturn blog siyo?
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mimi nimependa the whole idea. Maanake inatoa somo kwa cheaters kuwa face book na mitandao mingine ya kijamii si mahala pa kufanyia uzinzi kwani hujui una communicate na nani? Hata hapa JF kama kuna watu wanampango wa kudate wazingatie hilo. waweza kudate na mumeo/mkeo mkutane live iwe noma. Mfano mimi hapa nyumba kubwa si jina langu, inawezekana na mume wangu anajiita cheusi na si jina lake. Unaona soo hiyo. Nadhani kwa sasa couples zinachanganya akili sana namna ya kuchunga mizigo yao via spying and intelligence work. Mimi ni mmoja wao aisee, mume wangu akianza cheating will be caught in less than a month
   
Loading...