dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Mko huru katika kutafuta mafundisho ya kweli; ila ktk nyakati hizi za mwisho ni muhimu kujikita kwenye elimu ya ujuzi wa kweli wa Biblia ambao hata Waislam watakosa sababu ya kuubeza.Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa...
Samahan naomba kuuliza et wapi katika biblia imekataza kuchora tatoo ?Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa
Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado
Swali
Je muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani
Picha ya manabii hi hapa chini.
View attachment 2836696View attachment 2836695
Mkoa ganiMko huru katika kutafuta mafundisho ya kweli; ila ktk nyakati hizi za mwisho ni muhimu kujikita kwenye elimu ya ujuzi wa kweli wa Biblia ambao hata Waislam watakosa sababu ya kuubeza.
Fika Uwanja wa Maonyesho Saba Saba tarehe 16 na 17 December uone NAMNA Mwl Francis Ndacha anavyoitetea Biblia MBELE ya Waislam
View: https://www.youtube.com/live/MjV6HoXEAIs?si=LA4NBzAi2a2F6QMn
Mjadala upo amejadiliwa sana huyu nabii, wanasema ni mzimbabwe na jinsi alivyo ni utamaduni wa wandebele kuwa hivyo wala haishangazi. Sisi watanzania kwa imani yetu hatukubaliani na muonekano wake tunamuona kama wakala wa shetani. Avae haiba inayoendana na mila na desturi za kikristo, bora hata angevaa kanzu na kuachia madevu
Mndebele ni yule Prophet Java. Huyu ni mkongomani mixer na mkenya.
Walawi 19:28 NENSamahan naomba kuuliza et wapi katika biblia imekataza kuchora tatoo ?
muwe mnayafahamu madhehebu/masinagogi, vatikani inaingiaje hapo wakati huyo nabii si mkatoliki?Ngoja wafia dini watoke vatican walete mrejesho
Wengi watakuja kwa jina langu wakisema Mimi e🤣😭😭😭Ila hii dini inachezewa sana.
Msije mkaita hata mashetani manabii tu🤔Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa
Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado
Swali
Je muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani
Picha ya manabii hi hapa chini.
View attachment 2836696View attachment 2836695
Sasa hukmu ya huyu alikwisha jichora ni ipi ?Walawi 19:28 NEN
“ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi BWANA.