Nimeblock kiongozSasa wewe mara umjibu you are new mara you dont know where to start,means uko tayari kwa hivyo vitendo.
Shauri yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTENI WAKUU KWA SHAURI ZENU NZURI NIMEMPABLOCK YA NGUVU. NILIKUWA KWENYE GIZA NIMEREJEA KWENYE NURU[emoji2484][emoji2484][emoji2484]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe story yake kdgoKwa uandishi wako sikujua kama unaweza kutoa koment mzito hivi.
Zaidi ya pesa nini kinakushinda kumkatalia huyo mzungu hata umtukane na uachane nae kabisa unamjibu kizembe zembe hivi? ...
Mi nilijua kuna unachotaka kuchota hapo.......
Tena ukicheza nae utaliwa wewe...kuna jamaa miaka imepita aliliwa staili hiyo hiyo yako.
nipe namba zake kama kweli umemblock na hutaki tena kua naye karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hahaa huo ubazazi aisee... Amle mwanaume mwenzie !!! Siwezi kishauri hiloMi nashauri amege ale hela. Au unaonaje?
Binge moja la wazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpeleke kwa Makonda
Halafu kama ameanza kulegea hivi!Kama unatongozwa hivi....ngoja nipite zangu hapa hapanihusu kabisa