future lawyer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 434
- 443
- Thread starter
-
- #21
asante kwa ushauriHapo kwenye "I don't know where to start" umeharibu mkuu. Unakuwa kama umekubali Ila hujui uanzie wapi, hivyo jamaa Yuko free kukufundisha. Take bro! Block huyo mtu
jasho la mtu haliliwi kizembeMUWEKE SAWA UPATE PESA ZA BURE KISHA KIMBIA FASTA BADILI LAINI
ILA KUWA MAKINI USIJE FANYA HUO UJINGA
ushauri mzuri ninautendea kazi mkuuAcha kuchati nae.Akituma sms usimjibu.Ataacha mwenyewe.Dhambi nyingine ni kuzikimbia.
Acha kabisa mawasiliano naye.Hata ukipata pesa yake akija Tanzania lakini kama ana tabia hizo kaa nae mbali na Mungu atakubadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo si wa kumkataa taratibu..huyo ni wa kumkataa mazima.
hili nikosa langu tokea mwanzoTatizo hujamkatalia, jifunze kusema sitaki kwa jambo ambalo hulitaki.
nimempa block mkuu sitaki mazoea na mabwabwaWe ni mjinga sana. Mpuuzi. Katika majibu yoote ambayo ungeweza kumpa Unamwambia wewe ni mgeni kwe hayo mambo? Hujui pa kuanzia? Inamaana unataka akufundishe si ndio?
Na kwa taarifa akikufundisha kuingilia atakufundisha kuingiliwa. Rudi nyuma, tathmini kama unataka kuingia kwe hizo tabia. Kuwa makini.
Safi mjeshi. Alikuwa akupoteze huyo mkuu. Ila ulimuendekeza na majibu mepesi.
Fanya maamuzi sasa bado mapema.
Daa mkuu hii comment yako imebidi nicheke utadhani ni mazuri...!uko mbioni kumfira mtu