Huyu mzungu kanishangaza

huyo sio mzungu halisi wa kampuni hiyo ni mzungu feki. anataka upeleke hela na mtakutana eneo lingine kabisa na kijana wake, mwisho wa siku utasubiri ajira hadi miaka ishirini na ukienda ofisini hautamkuta na watakuwa hawamjui. beware.
Mkuu Asante kwa kumuelimisha maana mjini shule.Si kila king'aacho ni dhahabu.
 
Hiyo inaitwa 'feedback', ni taarifa ya kujua kinachoendelea, wewe si uliomba kazi? sasa yeye anakujulisha kinachoendelea, wangekaa kimya ungelalamika kwamba hujui kinachoendelea!
 

Inakusaidia kujiandaa, ni ni wakati wako sasa kuitembelea na kuichunguza hiyo kampuni ili ujue nguvu na udhaifu wao ambao wewe utaingia kwenye usahili ukiwa na hali yankujiamini

Pia inakupa muda mzuri wa kujipangia program zako, so kama ulikuwa na safari kwa muda huo aliokwambia basi unaweza kusogeza mbele ili usikose hiyo bahati
 
Umejuaje ni mzungu na mliongea kwa simu tu?,au ni sauti ndio inakufanya uamini ni mzungu?,kuna dalili za mtu kupigwa hapo,time will tell
 
Mkuu ndio application yako ya kwanza nini? Ni kawaida sana siku hizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…