kyagata HAKUNA UBAYA KATIKA HILO, HYO NI HATUA YA MWANZO KWA YEYE KUTAMBUA MHUSIKA KAMA NI BINADAMU AU LA, NA PIA KAMA ULIWEZA JIELEZA KWA UFUPI INAMTOSHA YEYE KUFANYA HIYO SHORTLIST KWA KUZINGATIA ALICHOJIFUNZA TOKA KWAKO...WENGI WAO HUWA HAWAFANYI BALI WANASAMPLE TU!kuna hr mzungu kwenye kampuni kubwa tu ya kimataifa hapa bongo kanipigia simu kaniuliza wewe ndiyo flani na ulituma email ya maombi ya kazi flani kwenye kampuni yetu nikajibu ndiyo akaniambia basi after next few days tutawatumia email ya kuwajulisha wale tutakaokua tunahitaji kufanya nao oral interview.
kilichonushangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?
kuna habari mzungu kwenye kampuni kubwa tu ya kimataifa hapa bongo kanipigia simu kaniuliza wewe ndiyo flani na ulituma email ya maombi ya kazi flani kwenye kampuni yetu nikajibu ndiyo akaniambia basi after next few days tutawatumia email ya kuwajulisha wale tutakaokua tunahitaji kufanya nao oral interview.
kilichonushangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?
huyo sio mzungu halisi wa kampuni hiyo ni mzungu feki. anataka upeleke hela na mtakutana eneo lingine kabisa na kijana wake, mwisho wa siku utasubiri ajira hadi miaka ishirini na ukienda ofisini hautamkuta na watakuwa hawamjui. beware.kuna habari mzungu kwenye kampuni kubwa tu ya kimataifa hapa bongo kanipigia simu kaniuliza wewe ndiyo flani na ulituma email ya maombi ya kazi flani kwenye kampuni yetu nikajibu ndiyo akaniambia basi after next few days tutawatumia email ya kuwajulisha wale tutakaokua tunahitaji kufanya nao oral interview.
kilichonushangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?
Zingatia ushauri wa mdau anaitwa Hute hapo juu. Nilikua Mbeya kuna matapeli walijaribu kumuingiza mkenge rafiki yangu kwa kutumia lafudhi za kikenya na kizungu.me nimezoea kupigiwa na kuambiwa tarehe ya kupiga interview.
Usijali, mala nyingi unamjulisha mtu anayefaa ili asije chukua kazi nyingine kabla yako - ninyi job seekers mnatega mitego mingi sana.habari wakuu,kuna mzungu ambae kanipigia kutoka kwenye kampuni kubwa tu ya kimataifa hapa bongo kanipigia simu kaniuliza wewe ndiyo flani na ulituma email ya maombi ya kazi flani kwenye kampuni yetu nikajibu ndiyo akaniambia basi after next few days tutawatumia email ya kuwajulisha wale tutakaokua tunahitaji kufanya nao oral interview.
kilichonishangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?
UMEONA EEE !!!!!!!!!Wabongo kila jambo kulalamika tuuu.
ni kawaida sana katika kutafuta kazi karibu abord kuna vibweka zaidi ya hivoHabari wakuu,kuna mzungu ambae kanipigia kutoka kwenye kampuni kubwa tu ya kimataifa hapa bongo kanipigia simu kaniuliza wewe ndiyo flani na ulituma email ya maombi ya kazi flani kwenye kampuni yetu nikajibu ndiyo akaniambia basi after next few days tutawatumia email ya kuwajulisha wale tutakaokua tunahitaji kufanya nao oral interview.
kilichonishangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?