HUYU MZUNGU KAFANYA MAKUSUDI..?!haha

HUYU MZUNGU KAFANYA MAKUSUDI..?!haha

yeah whats wrong with it?? unaweza nielewa kama wewe ulikulia mazingira ambayo ilimbidi mama yako akimbie uku amekubeba mgongoni kuokoa maisha yako kwaajili ya ubaguzi, ungeelewa kama ungekua unasoma shule ambayo the next black guy is your brother, au ungenielewa kama ungeishi maisha ya kucheza ndani kwenye corridors kuhofia usalama wako, au kuishi eneo ambalo kila ukiamka unakumbushwa kuwa wewe ni mweusi, au kuchungulia dirishani wazungu wakiandamana wageni wote waondoke kwao, wewe hukua hivyo na hutaweza kunielewa kamwe..

We boya boya, huna la kuongea hapa, bora kaa kimya. Ungeona wazungu wanavyotusema vibaya eti waafrica tunanuka usingefanya kama ulivyofanya. Kwakuwa ulikuwa mwafrika peke yako ndo ulitakiwa kuwaonyesha jinsi gani sisi ni wastaarabu. We poyoyo kabisa wewe.
 
ndio mkuu nimeishi nje Germany kipindi hicho 1976, naelewa ubaguzi ni nini.. unataka niongeze jingine, kama hakuna la kuongeza basi poa

Hata iweje, huwezi kutumia mazingira ya uchafu wa mwili wako eti kuonyesha ubabe wazungu.
Si ungekunya ukabakisha kimba la mavi kwenye chupi?
Maybe that way you would have made even a stronger statement! That you stink of shit, which is probably what you are!!!
Umejitia aibu mzee....
 
yeah whats wrong with it?? unaweza nielewa kama wewe ulikulia mazingira ambayo ilimbidi mama yako akimbie uku amekubeba mgongoni kuokoa maisha yako kwaajili ya ubaguzi, ungeelewa kama ungekua unasoma shule ambayo the next black guy is your brother, au ungenielewa kama ungeishi maisha ya kucheza ndani kwenye corridors kuhofia usalama wako, au kuishi eneo ambalo kila ukiamka unakumbushwa kuwa wewe ni mweusi, au kuchungulia dirishani wazungu wakiandamana wageni wote waondoke kwao, wewe hukua hivyo na hutaweza kunielewa kamwe..
and that justify what you did?? hapana aisee ndugu..nahisi kama ulidhibitisha upumbavu wao vile
 
huyu ni boya, ananuka then anajisifia ujinga, -------

Hahahaaaaa haaaaaaa dunia ina mambo,kunya anye yeye harufu aitoe yeyee eti tabu awape wengineeeeee??? Haipo hiyo na ndugu ajipange na mbinu nyingine hiyo ali bugi meeen.
 
We boya boya, huna la kuongea hapa, bora kaa kimya. Ungeona wazungu wanavyotusema vibaya eti waafrica tunanuka usingefanya kama ulivyofanya. Kwakuwa ulikuwa mwafrika peke yako ndo ulitakiwa kuwaonyesha jinsi gani sisi ni wastaarabu. We poyoyo kabisa wewe.
basi utamuua ila wazungu si wema.angalia usimtoboe macho mtumwa wa watu.
 
Sasa kwani tatizo liko wapi hapo? Tisheti imeandikwa yuko peke yake gizani, au imeandikwa yeye ndio mweupe kati ya weusi?
 
Back
Top Bottom