NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 699
- 1,120
sasa rafiki ingawa umesema kweli lkn hivi huoni hujajitendea haki wewe binafsi?/ umejidhalilisha kwamba u mchafu na soksi zako hunuka na kwamba huwa zinatoa harufu sana. Wewe kama ulifikiri unawakomoa ulijikomoa alone as harufu ya soksi ulishea nao na mguu iliyokosa kupumua vyema ni yakomkuu hii inanikumbusha mahali flani, nilikua mweusi pekee kati ya kusanyiko la watasha kama 30 hv, halafu siku hiyo nikasema ngoja niwazengue hawa majamaa nione watasema nini, nikachukua soksi zangu ambazo sikufua mda mrefu, zinatoa harufu sana, nikazivaa, nilipofika katika mkusanyiko, nikavua viatu, ngoma ikawa inatema mbaya, jamaa walibakia kugugumia tu kwa maumivu lakini hakuna aliyetia neno, nikawa nachekelea moyoni, kudadeki zenu mtaipata freshi leo..
Inanikumbusha mbali kijana wa kisasa almaarufu sharobaro kakupigia fulana mgongoni anasomeka 'im your next Girlfriend'...
mtazamo wako na unaruhusiwa kufikiri unavyoona wewe, mimi nilependezewa nilichokifanya kwa wakati ule, na bado nafurahia kuikomesha mijizungu kwa harufu nzuri za soksi zangu...the least i could do kwa wakati ulesasa rafiki ingawa umesema kweli lkn hivi huoni hujajitendea haki wewe binafsi?/ umejidhalilisha kwamba u mchafu na soksi zako hunuka na kwamba huwa zinatoa harufu sana. Wewe kama ulifikiri unawakomoa ulijikomoa alone as harufu ya soksi ulishea nao na mguu iliyokosa kupumua vyema ni yako
mkuu hii inanikumbusha mahali flani, nilikua mweusi pekee kati ya kusanyiko la watasha kama 30 hv, halafu siku hiyo nikasema ngoja niwazengue hawa majamaa nione watasema nini, nikachukua soksi zangu ambazo sikufua mda mrefu, zinatoa harufu sana, nikazivaa, nilipofika katika mkusanyiko, nikavua viatu, ngoma ikawa inatema mbaya, jamaa walibakia kugugumia tu kwa maumivu lakini hakuna aliyetia neno, nikawa nachekelea moyoni, kudadeki zenu mtaipata freshi leo..
sihitaji kuambiwa hivyo na wewe nijue nilichemka, utaratibu wako wa maisha unakupa tafsiri hiyo, wangu naona nipo sahihihapa ulichemka sana
hapa ulichemka sana
mkuu hii inanikumbusha mahali flani, nilikua mweusi pekee kati ya kusanyiko la watasha kama 30 hv, halafu siku hiyo nikasema ngoja niwazengue hawa majamaa nione watasema nini, nikachukua soksi zangu ambazo sikufua mda mrefu, zinatoa harufu sana, nikazivaa, nilipofika katika mkusanyiko, nikavua viatu, ngoma ikawa inatema mbaya, jamaa walibakia kugugumia tu kwa maumivu lakini hakuna aliyetia neno, nikawa nachekelea moyoni, kudadeki zenu mtaipata freshi leo..
mkuu hii inanikumbusha mahali flani, nilikua mweusi pekee kati ya kusanyiko la watasha kama 30 hv, halafu siku hiyo nikasema ngoja niwazengue hawa majamaa nione watasema nini, nikachukua soksi zangu ambazo sikufua mda mrefu, zinatoa harufu sana, nikazivaa, nilipofika katika mkusanyiko, nikavua viatu, ngoma ikawa inatema mbaya, jamaa walibakia kugugumia tu kwa maumivu lakini hakuna aliyetia neno, nikawa nachekelea moyoni, kudadeki zenu mtaipata freshi leo..
haha whatever go kill urselfwewe bonge la --------, ulijidhalilisha, ulijitia aibu, usiandike ujinga, si lazima uchangie
wewe bonge la --------, ulijidhalilisha, ulijitia aibu, usiandike ujinga, si lazima uchangie
mkuu hii inanikumbusha mahali flani, nilikua mweusi pekee kati ya kusanyiko la watasha kama 30 hv, halafu siku hiyo nikasema ngoja niwazengue hawa majamaa nione watasema nini, nikachukua soksi zangu ambazo sikufua mda mrefu, zinatoa harufu sana, nikazivaa, nilipofika katika mkusanyiko, nikavua viatu, ngoma ikawa inatema mbaya, jamaa walibakia kugugumia tu kwa maumivu lakini hakuna aliyetia neno, nikawa nachekelea moyoni, kudadeki zenu mtaipata freshi leo..
seriously???mkuu hii inanikumbusha mahali flani, nilikua mweusi pekee kati ya kusanyiko la watasha kama 30 hv, halafu siku hiyo nikasema ngoja niwazengue hawa majamaa nione watasema nini, nikachukua soksi zangu ambazo sikufua mda mrefu, zinatoa harufu sana, nikazivaa, nilipofika katika mkusanyiko, nikavua viatu, ngoma ikawa inatema mbaya, jamaa walibakia kugugumia tu kwa maumivu lakini hakuna aliyetia neno, nikawa nachekelea moyoni, kudadeki zenu mtaipata freshi leo..
seriously???
ndio mkuu nimeishi nje Germany kipindi hicho 1976, naelewa ubaguzi ni nini.. unataka niongeze jingine, kama hakuna la kuongeza basi poaHamjamuelewa, anataka tujue kuwa alishakwenda kuishi kwa wazungu!
yeah whats wrong with it?? unaweza nielewa kama wewe ulikulia mazingira ambayo ilimbidi mama yako akimbie uku amekubeba mgongoni kuokoa maisha yako kwaajili ya ubaguzi, ungeelewa kama ungekua unasoma shule ambayo the next black guy is your brother, au ungenielewa kama ungeishi maisha ya kucheza ndani kwenye corridors kuhofia usalama wako, au kuishi eneo ambalo kila ukiamka unakumbushwa kuwa wewe ni mweusi, au kuchungulia dirishani wazungu wakiandamana wageni wote waondoke kwao, wewe hukua hivyo na hutaweza kunielewa kamwe..