SupuyaPweza
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 914
- 471
Ni mhenga!...
Naunga mkono. Huyu Lisu ni limbukeni wa kupindukia. Hapo anajiona mzungu atamtetea kimataifa kwa sababu tu ni mzungu.Mmoja wa wanaomtia ujinga
kumbe Mzee wa mvi hana chake ..... sasa mbona ashatangaza niaMgombea mwenza 2020
Sema ni muoga kupita kiasi!ukilianzisha limalize ndiyo sifa ya mwanaume.....si unapayukaaaaaa mwanaume mwenzako akijitokeza unaufyataaaaa na kuomba msaada!Hahaha Lissu mjanja anajua kutoka hapo ingetumika nguvu basi huyo mzungu lazima angeonja virungu na hapo ndio mambo yangekuwa mapyaaaaa!
Mwepesi kama karatasi.....sidhani kama huwa anapiga mswaki!anamdomo mchafu!Nijikumbuka povu la Lissu alipokuwa pale maelezo... Eti leo kang'ang'ania mahkamani akiwaogopa polisi.
Anatia aibu makamanda wa cdm
Sent using Jamii Forums mobile app