Wanaume wengi wakimlipia binti mahari wanayafanya kama nira shingoni mwa familia ya binti, kwakuwa thamani ya binadamu sio mahari iwe ya mali au pesa, basi Mzee ametenda haki, ukaishi na bint kwa amani na upendo, biashara ya kuuziana binadamu hakuna siku hizi. Natamani wazazi wote wangeiga mfano huu.