MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,764
- 71,793
Hivi jamani huyu baba mkwe mtarajiwa unampelekea Mali anakataa anasema binti yake hauzwi, wewe andaa harusi tu.
Huyu Mchagga ananitakia mema Mimi na binti take kweli?
Hivi kwanini ukatae Mali?
Mhhh huyu mzee kweli ana nia njema?
Au binti yake ni matatizo hadi akatae mali?
Siku huyu binti si anaweza anasema kwanza wewe hukunitolea Mali niache niende kwetu?
Kuna maswali ukiyafikiria mweeeeh!
Jamani wadada hivi wewe ulipotolewa Mali ulijisikiaje?
Tena Mali ilipokuwa kubwa au ndogo moyoni ilikuwaje?
Tusaidiane tu maana hakuna namna!!!!!
Bila shaka chai hiiUlipeleka mahari bila kutajiwa?
Unajua taratibu za ndoa?unaanza kuposa halafu unatajiwa mahari.
Mahali si unatoa baada ya kutajiwa kiasi gani au utoe kitu gani sasa wewe kwanini ulipeka bila kuambiwa upeleke nin
Makubaliano na wajomba, mzee anasema hiyo hela nimepanga itumiwe kwenye harusi. Sasa hapo ndipo sielewi kwa nini hiyo Mali asipokee tu?Mahali si unatoa baada ya kutajiwa kiasi gani au utoe kitu gani sasa wewe kwanini ulipeka bila kuambiwa upeleke nin
Wewe hii simu ina edit keyboard sasa inaandika mali baada ya mahari sorry typing errorMali ndio nini ndugu??..inawezekana hamkuelewana lugha maana kuandika tu ndio hivi je kuongea unaongeaje??.. umerudia kuandika MALI mara kadhaa hii inaonyesha hata ukitakacho hukijui..jipange
Mali??? Or mahari??? Jiamini tuu braza kama unayosema sio chai.....
Mali??? Or mahari??? Jiamini tuu braza kama unayosema sio chai.....
Bwana wewe mjomba kapanga mahari au siyo?Ulipeleka mahari bila kutajiwa?
Unajua taratibu za ndoa?unaanza kuposa halafu unatajiwa mahari.
Jamani utaratibu wote tayari,Hivi utaratibu wa kutoa mahari ndio hivi!!! unajibebea tu unapeleka kabla hata ya posa alafu ikikubaliwa ndio unapangiwa mahari! au mimi ndio sijui.
Labda mawenge yangu tu,Wewe yawezekana ndio hujamwelewa mzee