Huyu ndivyo alivyo,hata UD alikuwa ni mtu wa vurugu sana wala simshangai hata kidogo,wenyewe walikuwa wanamwita CHIEF alileta shida kwa watoto wetu chuoni,alikuwa anataka kupindua serikali ya kina Zitto Kabwe ila alimshindwa Zitto.watoto wanamkumbuka na wanasema alikuwa anargue vitu vya kijinga ili aonekane anajua,ni mmoja kati ya waliokuwa wanasababisha migomo na mapinduzi yasiyokuwa ya maana na yasiyo kuwa na mafanikio na kuishia wanachuo kurudishwa nyumbani.
huku amefika atapata adabu sio chuo huku,huyu ni immature complete, kwenye uongozi na siasa.
nafikiri huu ndio mwisho wake labda wanyiramba wawe wajinga kwa kofia,fulana na vitenge kwani yeye ndio mwenye maamuzi ya vijisenti vya CCM.