Huyu mwenzetu vipi?

haha huyu katisha ila ni kamanda kwani kuna chama kimewakilishwa zaidi ya vingine hapo
VIVA UKAWA!!!

Uko sawa kabisa, nguo kavaa ila ameonyesha ishara ya ✌✌✌✌✌✌

VIVA UKAWA VIVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…