Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Fanya kuniachia hizo digits basi 😇mm sina hiyana likija kwenye swala la kutoa digits.
Nyie wadada Mkiitwa gheto siku tatu baada ya kukutana mnasema sio vizuri, ni mapema sana, tuna tamaa ya papuchi, blah blah, tunataka tugegede tu hlf tuwaache, haya mkaka wa watu kawa mtaratibu una sema sio riziki
Nakushauri u-make the first move, mwambie unataka upaone kwake, mengineyo ya kufanya unayajua Tuttyfruity
Amekutamkia kuwa anakupenda? Tujue hilo kwanza
Raha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu
Kwani kila mwanaume anaye jaribu kujenge ukaribu na wewe lazima akugegede, acha uzinifu wewe dada😂😂. Au fanya kumpa tunda kimasihara aje atiririke kwa uzi wa rickboy.Ni mapema sana kunitamkia ananipenda ila "I like you, I want to get to know you. Same old drill u know
Raha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu
Una jiko kali sana Mkuu.Hata mimi sijamwelewa ni me au ke.Mpuzi sana huyo mleta uzi.Badala afanye kazi anatuletea habari za nyuchi nyuchi humu jamvini.Una swaga za kiuni na za kiume. Badilika