Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Duu nawe mbona unamtukana bana badala ya kumshauri kwa busara nini cha kufanya. Its not good kwa kweli.
 
Nendiwekilasa;
Mbona hujatupa matokeo ya ushauri uliopewa? Umetoweka kabisaaaaa
 
kuwa mvumilivu 2. mbona umevumilia muda wote hushindwe sasa. acha tabia mbaya ya kuangalia nje. huyo mumeo unatakiwa kumrudisha ktk hali yake ya zamani. so kutoka nje ya ndoa siyo suluhu hata kidogo. jichunguze inawezekana una kasolo fulani ndo mana anakufanyia hivyo ili ujifunze. kwa ushauli zaidi ni inbox facebook ntakuambia 2. npo kwa ajili ya kushauri watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…