yoelisahe
Member
- Jul 23, 2013
- 72
- 21
mara ya kwanza aliniaproach nimekaa nae kama mwez mmoja akaanza mizinga ya vocha,mara una elfu kumi ya fasta,unitumie,mara sehemu nilipo nimbal na duka nirushie vocha,nikajua ni kwel amekwama,nikagundua nimchezo wake,hajawah kunipa ata sh.mia,nilichofanya nilikata mawasiliano ghafla ad akashangaa,akipiga cm cpokei,wala cjibu sms zake,mwaka miezi imeisha,majuz,nimeonana nae,akanambia anashangaa nimemchunia, baada ya cku 2 ananitext,baby sory,niko home ninashida na vocha cwezi kutoka kuna mvua kubwa,