Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
labda ameona una kitu fulani unamvutia wala alionao hawana.wewe kwani umeamuaje?Tunafahamiana mda sasa
Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi
We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo
akigombana na girlfriends zake mie ndo naombwa ushauri, ntafanyaje kama rafiki siwezi kumuhukumu eti ana wapenzi wengi coz friends hawahukumiani Hata siku moja ila wanarekebishana tu hapa na pale.
Hayya tatizo linakuja anaanza kuniwinda mimi, Mara ooh si mnazijua zilee
Basi jamaa bila chembe si aka-apply mwai (lugha WA vijana WA siku hizi)
Sijamuelewa anataka nini hasa maana hao wawili wote hawamtosh?? Anataka kuniongeza kwenye list?
Nimeamini kweli Hamna urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume.
Wanaume na tamaa zao (sija generalize msije mkanipiga mawe)
Usiku mwema wapendwa
Misa mi nimeamua niendelee kua rafiki tu, mapenzi no
a virgin...?.yani mtu kakutongoza halafu unasema huelewi anataka nini?
Hebu mkubalie uone atachochukua kwako ni kipi!
You are still a virgin bila shaka!
a virgin...?.
Tunafahamiana mda sasa
Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi
We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo
akigombana na girlfriends zake mie ndo naombwa ushauri, ntafanyaje kama rafiki siwezi kumuhukumu eti ana wapenzi wengi coz friends hawahukumiani Hata siku moja ila wanarekebishana tu hapa na pale.
Hayya tatizo linakuja anaanza kuniwinda mimi, Mara ooh si mnazijua zilee
Basi jamaa bila chembe si aka-apply mwai (lugha WA vijana WA siku hizi)
Sijamuelewa anataka nini hasa maana hao wawili wote hawamtosh?? Anataka kuniongeza kwenye list?
Nimeamini kweli Hamna urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume.
Wanaume na tamaa zao (sija generalize msije mkanipiga mawe)
Usiku mwema wapendwa
Kuna uzi asubuhi jamaa kasema amekua na marafiki wakaishia kuwa wapenzi. Ukweli upo

hivi unadhani makocha wanaweza kuingia dimbani kucheza...???amevutiwa na ushauri wako juu ya wanawake wenzio