Huyu mwanaume ana makosa?

Baada ya kumsaidia mumewe kujenga yeye yuko kwenye ubomoaji zaidi asije akawa anasingizia bank kumbe anayahamisha, maana wanawake wengine bana!>>>......

Baada ya kumsaidia mumewe kujenga yeye yuko kwenye ubomoaji zaidi asije akawa anasingizia bank kumbe anayahamisha, maana wanawake wengine bana!>>>......

Kwa taarifa nilizopata jana ni kwamba mama kajieleza kuwa mkopo wa kwanza alimjengea nyumba mama yake kijijini, wa pili kalipia ada ya mdogo wake university, wa tatu kalipa ada ya mdogo wake, mwanaume kamuuliza miaka yote hiyo nimeishi na wewe kwa nini umeshindwa kuniambia yote haya?! Sitaki utetezi wa kijinga pumzika kwenu ukiamua kuja kuniambia ukweli ndo uje unambie

baba hana makosa yeyote coz alisha msamehe mara ya kwanza so kazoea bora tu amtimue vinginevyo atakua *****

baba hana makosa yeyote coz alisha msamehe mara ya kwanza so kazoea bora tu amtimue vinginevyo atakua *****

Hizo star tu zimenichekesha anatia hasira kwa kweli

kwan huyu mwanamke pesa alikuwa anatumia na nan cmume wake hvyo huyu mwanaume hakupaswa kumtimua bal alitakiwa amvumilie kama alivyokuwa unatumianae hzo pesa sawaaaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…