amfukuze kabisa huyo mama hafai.........kosa lilikuwa lile la kwanza......kama karudia tena zaidi ya mara mbili......no hafai
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wamebeba kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....

Huyo baba kweli anampenda mke wake tena mapenzi ya dhati....

huyo dada hata angekua mdogo wangu ningemkaribisha nyumbani kwa mikono miwili. Hampendi mumewe, hamueshimu, hamshirikishi, hajaona thamani ya huyo mume! vipi anataka kumuua baba wa watu wakati kuna ladies akili zimetulia na wanatafuta waume???

Dada DA kuna usemi unasema kuwa kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa ndo kosa kwa hiyo yeye a do the needful she must pack and go hampendi mume wake.
Yaani huyo Mama basi tu ni kama mtu anaekula nakushiba sana mpaka anatapikia sahani uliolia chakula. Nipo dear unajua hichi kijiji kikubwa ndo maana huwa tunapishana humu humu, sore ofu topiki.

Kabisa unayosema ni kweli kapewa mizigo anatusumbua majirani hapa. Off topic nimekumic wewe ujue
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wa leo wamebeba kila kitu km kawaida kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta yale yale ya kusafishiwa nyumba kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....
Naamini HUYO BABA na yeye ni part ya tatizo,na yaelekea kama hiyo nyumba yao hakuna mawasiliano kati ya baba na mama.Lilipotokea mara ya kwanza huyo baba alitakiwa anajaribu kuwa karibu na huyo mama washauriane, Yawezekana mama ana nia nzuri ila kukosekana msaada wa mawazo wa huyo baba ndo kunachangia kushindwa kurudisha mkopo