Huyu mwanaume amepatwa na nin?

Huyu mwanaume amepatwa na nin?

Mwanamke akiwa bleed hastahili kufanya mapenzi ? Nunu inageuka kidonda ?
Wanawake wengi wanaangamiza mahusiano yao kwa kukosa maarifa.
Sio nzuri ki afya coz italeta infection , ila unashauriwa akiwa period labda mfanye wakati wa shower ,
 
Wee acha kabisa yaani akili zikishashuka kule chini. Inakuwaga hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23] busara zote huwa sijui zinaenda wapi..
Haha kweli kabisa nahisi muda huo nyie hamuwazi chochote zaidi ya hicho ,
 
Mwanamke akiwa bleed hastahili kufanya mapenzi ? Nunu inageuka kidonda ?
Wanawake wengi wanaangamiza mahusiano yao kwa kukosa maarifa.
Msiwaingilie wanawake zenu wakiwa kwenye siku zao
 
Sio nzuri ki afya coz italeta infection , ila unashauriwa ukiwa period labda mfanye wakati wa shower ,
Hayo ndiyo maarifa mkuu[emoji120][emoji120], amemuogesha mwenyewe lakini kashindwa kumsaidia mwenzie. Katika hali ile ya kutingwa anamfukuza, ili msaada akapate wapi ?
Alinyonya alichoka, mbinu ziliisha ? Mafuta laini hayakuwepo ? Angempigisha punyeto ya kwenye maziwa bila mwanaume kugundua.
Wanawake kuweni wabunifu ili hata kama mmechoka timizeni haja za wandani wenu.
 
Aisee kweli ubunifu ni muhimu , wanawake tuna kazi hapo .
 
Umechukua history of the patient vzuri...systematically but u have failed reaching a diagnosis....

Go clerk again....
 
Jamani huyu mwanaume amepatwa na tatizo gani
Nami nikuulize wewe kwa niaba ya shoga yako! Hivi wanawake mnataka nini hasa?! Jamaa dushe lege lege, kwa shoga ako ikawa taabu! Siku mchizi karudi bendera bati, mlingoti bati, shoga ako anahoji "leo kulikoni!"

Again, hivi mnataka nini hasa?!
 
Huyo jamaa katumia super shaft, ulipomuona mtaa ule alikuwa na kidemu chake anakipa mambo, sasa kile kidemu kimesalenda mchezo baada ya kuona show ni ya kibabe sana jamaa hapumziki wala hachoki, so kikakimbia...

Hivyo basi akaja kwako huku mjomba akiwa wima wima, nawe ndo hivyo tena ukamzingua...kwa kuwa madawa yalikuwa bado yanampelekesha akaona suluhisho ni kununua malaya tu, hakika alipata nafuu
 
Wewe nimeanza kukuelewa
 
Hiki kisa kimempata shost yangu

Shoga angu ana mpenzi ila wanakaa mitaa tofauti

Katika mahusiano yao wapo tu kawaida,kila mmoja akitaka kukutana kimapenzi huwa wanakutana bila shida,ila miaka ya hivi karibuni wakiwa sita kwa sita alikuwa hapafomu vizuri kwa sababu muda mwingine alishindwa kumsimamisha jogoo wake hadi asaidiwe na shoga angu kwa muda mrefu ndo jogoo anasimama wanaendelea na kazi

Juzi huyo mpenzi wake alimuaga shoga angu kuwa atasafiri,na muda wa kuondoka akawa ameisha mwambia na akamwambia angerudi kesho yake kutoka safarini

Lakini shoga angu alipita mtaa fulani akiwa kwenye shughuli zake, akahisi kama amemuona lakini akahisi huenda siye, huenda atakuwa amemfananisha ,ili kuamini kama siye akachukua sim na kumtext kama amefika alikokuwa anaenda akajibu amefika,basi bi dada akawa anaendelea na mambo yake

Ila muda wa saa 2:30 usiku akasikia mlango wa nyumba yake unagongwa ,akachungulia dirishani kabla ya kumfungulia,akahamaki,alikuwa mpenzi wake,akafungua mlango,akaingia ndani,akamuuliza kulikoni usiku huu,safari uliyoenda imekuaje tena,na au sio wew ni jini,akamwambia amefika na kugeuza fasta, hakutaka kuuliza uliza maana sehemu aliyokuwa amemwambia ameenda ni mbali sana

Akampikia akala,lakini akawa anamshika mwili ni wa moto balaa,akamuuliza unaumwa mbona mwili wako una joto jingi kiasi hiki,akamwambia hapana nipo kawaida,akimwangalia machoni,kama anaonekana kama macho yanakuwa madogo

Basi akamwambia wakaoge,wakaenda bafuni kuoga wote, cha kushangaza akakuta jogoo lake limesimama,limekuwa gumu,akaguna mmmh,leo vipi mbona hivi,hakutaka kumshikashika dudu lake maana shoga angu alikuwa anableed ,hivyo akaona asije akaharibu mambo,lakini mwili wake una joto,pamoja na kuoga ,dudu halishuki mpaka wanatoka bafuni

Walivyofika chumbani,anampaka mafuta bado limedinda,akamuuliza wewe mwanaume umekuaje leo,? Anajibu nipo kawaida

Basi wakaingia kulala,dudu limesimama bado limekaza,muda huo alikuwa amevaa nguo za kulalia,unajua mwanaume akaanza kumvua ili wasex na huku anajua yuko bleed,akamwambia,jamani ina maana hujui nableed,bado tu analazimisha,shoga akaamua kwenda kulala sebuleni,mwanaume akamfuata akambembeleza warudi kitandani walale,akarudi,mwanaume akamwambia atumie mbinu yoyote amkojoleshe maana ana hali mbaya

Akamuuliza umekuaje leo,! Akamjibu huenda siku nyingi nilikuwa sisimamishi vizuri huenda zile hisia zimejikussnya zimerudi leo"

Shost,akaona isiwe kesi,akaanza kutumia mbinu ya kunyonya nusu saa,mtu hakojoi,mwanaume akalazimisha wafanye sex,shost akakataa,akamwambia siwez sex niko bleed,akamwambia ageuze mlango wa nyuma,shost akaduwaa,mwanaume hajawahi kumwambia wafanye mapenzi kinyume cha maumbile,akashangaa kuwaambiwa hivyo,Shost akafikiria na kuanza kulia, Shost akaanza kumtaka aondoke aende kwake usiku ule,pamoja na mwanaume kuomba samahani,shost hakutaka tena mwanaume aendelee kulala mle ndani,hatimaye mwanaume akaamua kuondoka

Baada ya muda,huyo mwanaume akamtumia sms, ulidhani umenikomoa,wanawake ni wengi,ngoja nikanunue malaya yoyote,mwanamke sio wew tu"

Jamani huyu mwanaume amepatwa na tatizo gani
Alitumia viagra huyo
 
Back
Top Bottom