This is a law of self-preservation. Broadcasting your struggles is a weakness that will be used against you. No one cares, so you must care enough to fix it yourself. The only person who can save you is you. Get to work.Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.
Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.
Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
Kumsemelea mwenzako ukweni haisaidii kumbuka huyo ni mtoto wao. Mpandishe cheo awe bibi mkubwa!Kamsemee kwa babaake