nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,160
Hata vitoto vya Alfu mbili havi 'behave'..namna hiyo.... we bi.mkubwa ni vipi? wewe ni mtu mzima mwenzangu na wote kwa sasa tuna wajukuu.....
Tunayapanga fresh mambo ya ki utu uzima then unauza gazeti zima kwa shoga yako,,,,,daah! nishai sana...... mimi sina hili wala lile...shoga yako ananitazama kwa jicho la haloo halooo 😉😉 mpaka mwanaume ninasawajika..salamaleko......
KImsingi huyu mwanamama ana hulka ya kubadilika badilika....anaweza leo akanichekea maongezi yakawa ya kiungwana then ghafla bila sababu yeyote anabadilika yaani mood ina change..kwa ghafla anakuwa ni kisirani kisichofaa kusimuliwa!!! mpaka Abdalah kichwa wazi ananywea anaona duuuh hili nyaaash nitalisukuma kweli???
Nikiamua kumpotezea yeye ndio wa kwanza kurudi kinyonge na kuanzisha vihadithi vya hapa na pale kama vile anaomba msamaha...ni ki utu uzima namuelewa......lakini daaaaaah.....