nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Shule za Upili zimeshafunguliwa sijui kwa nn wengine hawajaenda.
kajilisha tango PoriUlisikia vibaya haikua wewe au walikua wanamzungumzia mtu mwenye jina kama lako
Chabo ni mbaya
Yanini kuwachungulia wanawake wanapopashana habari
Ona sasa unafia stress
mkuu we umeanza kazi lini mbona sentensi zako zina utata..!Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa....m pka napoandika hii message yapata mwaka