Huyu mwanamke simuelewi!!

Dogo! Muhimu ya yote piga kitabu. Mahusiano yasikuzingue sana wala kukuumiza kichwa, nenda nayo na hali ilivyo au itakavyo kuwa. Na nikushauri tu zaidi uwe unawatembelea wajomba zako au wakina babu wakupe story za ujanani kwao, utajifunza kitu juu ya wasichana.
 
Utakuwa mtoto wewe
 
Msomi wa Chuo upo na akili hiyo sasa kipindi hiki tutashuhudia mengi ebu tungoje na form four wamalize mitihani
 
Katika dunia ya Leo Mwanamke akizingua nayeye ndiyo akatoa maamuzi kuwa kila mtu kivyake, huna budi kufurahi kwani gharama za kuendelea kuwa nae ni kubwa muno kuliko kumwacha aende zake...
 
Yaani kuelewa kazi sana. Huyo anataka asiwe chini yako bali kula mzigo utakula kama kawaida Ila sio mchumba wako na huna mamlaka nae hata umkute yupo na mwingine. Nadhani umeelewa
 
Duh napata hofu na taluma yako inamaana hata DS husomi? Maana nakuona unashindwa kitu kidogo tu kutambua je angekwambia nataka mtoto ila sihitaji kuolewa kwako ungefanyaje? Huyo anajua msaada wako kwake na hasa darasani kwenye assignment ila mkimaliza chuo najua mwisho wenu getini
 
Yaani Mwaka wa pili chuoni huwezi kung`amua jambo dogo kama ilo ?!!? Harafu unategemea umalize chuo upate ajira? Nani atakubeba kilaza wa hivi? Hata STD 7 haulizi ujinga huu. Kwanza hata kupika hujui inaonyesha kilaza taslim.
 
Anakugeuza mchepuko
 
tafsiri yake kakuona wewe bongolala hujiongezi wala hufikirii kujitegemea ndiyo maana kwakwambia kapange aje. ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…