Boss yaan hapo una dhihirisha udhaifu wako demu akija geto mzee ndio siku yake ya kutimiza majukumu ya ndoa kipindi cha majaribio unge mpa nguobakufulie na usafi afanye geto hapo ss tatizo vijana wa siku mnacheka cheka tu demu akilembua na ww unalembua macho ..na inaonekana himpigi pipe ya kutosha ndionmaana anakulaumu laumu ila sio case BADILIKA