Huyu mwanamke ni mfanye nini?


JF bhana mpaka raha.JF ooooooyeeeeee
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Chukua vipodozi vyake,chupi,kama ana wigi bangili,Shanga kama anatumia Bikini vyote piga moto! ukimaliza mpe kadi ya mwaliko wa harusi ya mke mwenza fullstop.....Tena mwambie harusi kesho asubuhi!
 
Tehe Tehe labda ni mmoja kati ya wanne.

Ila na nyie mmezidi, mtu anakufulia, anakupikia, afu bado Una mawazo ya kuchepuka!

Hahaaaa huyo dada wa jirani siku nyingine atakoma kuwa na 'maongezi' na Waume za watu!lol

Mkuu kubali huko ndiko ulikokua unaelekea
 
Jibu lake hii atachment naweka
 

Hawa vijana wa Ndalichako hawa kichwan iki shida.Wewe Mr mgeni hebu jarib kwa Shigongo kuomba kibarua, inaelekea utakuwa mtunzi mzuri wa stori
 
nimeipenda hiyo, ukalala zako unasubiri asubuhi umpeleke kumpima akili, upo sahihi.
 
Mkuu dawa Acha nyumba ikae hivyo hivyo hata kwa mwaka .. we hata wage ni wakitaka kuja wakaribishe kwa roho safi uone
 
Yaani mkaushie kwa mwezi mzima, ukiamka oga zako nenda kazini na urudi jioni. Mpe displine kuwa kama bubu don't ask or question anything for sometimes. Don't buy anything distroyed
 
Hajitambui huyo au amekuonamo wewe, kwanza ana elimu gani? Tupa kule oa mwingine
 
Daah! Pole sana mkuu. Your wife has completely destroyed the only few assets that you owned... Cha kufanya usinunue tena Tv nyingine wala masofa... Wacha aisome namba weee...
Wivu kitu kibaya sana; hasa wivu wa mapenzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…