Hata kama hana pakwenda angechukua room guest, kama mnywaji unapiga beer zako unalala, kama si mnywaji nenda na novel zako.Ungeenda kulala nje kama siku 3 uone kama hajakutafuta mwnyw kishajua ww zoba ndio maana kafanya uharibifu huo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.sikumuuliza wala sikumfanya chochote.Nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Joanah mrenbo kwa hiyo mimi nikitafuta mke mwenza wako wewe hutojali au?,basi ujue wewe ndio unanifaa sana wa Kikurya wewe au Mjita au vipi?,yaani utafaidi sana mautamu yangu baby.Akiwa timamu mtafutie mke mwenza
Sky wewe ndo maana huwa nakupenda lakini wewe hunipendi kwa nini?Hata kama hana pakwenda angechukua room guest, kama mnywaji unapiga beer zako unalala, kama si mnywaji nenda na novel zako.
Ukhuty jamani mbona unanikaushia kinoma hivyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mrembo unachekelea mambo ya hatari?,je yakikukuta na wewe?,kumbuka haya ni maisha tu au vipi?, iko siku na wewe utakuja humu chupi mkononi tayari umetendwa je utachekaaaaaa tena?.hahahaaaaaaaaaaa
Daaah hata hivyo umenonaa sana,yaani sipati picha pale utakaponigawia kisusuio madhee,natamani niwe nawe fargha tena usiku wa giza,i can imagine how hot you are down there?.hahahaaaaaaaaaaa
Kuna watu mnapendeza hapa dunuani,nashindwa hata kujieleza jamani,huyo uliomchunuku hakika anafaidi mpaka ananenepa bila kujijua au vipi?,hebu uni PM nikujulie hali mamii.hahahaaaaaaaaaaa