umerogwa wewe
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 417
- 566
Achana naye hiyo ni ajali ya kisiasawajinga ndio waliwao
kuna msemo unaitwa njoo uchukue huu ni kiboko ya waomba pesa
MO11: nafanyaje mkuu, yeye kama hanitaki angesema tu kuliko kunitapeliwajinga ndio waliwao
kuna msemo unaitwa njoo uchukue huu ni kiboko ya waomba pesa
we ni mjinga. aana mkuu unatumaje hela mtu humjui ni dada yako yule au mama yako?sikuhzi biashara ni tit for tat anakuja unakula mzigo ndo unatoa hela pole sanaHabari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.
Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.
Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.
Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.
Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.
Ni hayo tu....
Lwasu:Siku nyingine mwambie achukue bajaj utakuja kulipia!!!
thasit:Mbn ulifanya mengi mapema?? Km anataka nauli ungemwambia aazime sehem aje, akiondoka utampa akalipe.
kimeloki:Acha kulia lia fanya utaratibu wa kumteka upige mashine hadi vikojoleo vyenu viwake moto. ...
hahahaha I expected to meet this responseSubiri atoke kuoga
Nyagei:Subiri atoke kuoga
wonderful:utakua umerogwa wewe maana si bure!!
ndio tunafanyaga ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbn ulifanya mengi mapema?? Km anataka nauli ungemwambia aazime sehem aje, akiondoka utampa akalipe.