Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
Habari zenu waote Jf,
Nina mahusiano na mdada mmoja hivi ni mzuri na ni mdada anayejielewa ila sasa kinachonichanganya na kunipa maswali mengi yeye huwa hapendi kabisa kunyoa sehemu zake za siri kabisa yani mpaka unakuwa ugomvi ukimwambia kuwa nyoa huko chini.
Nakumbuka mara ya mwisho alinyowa mwezi wa kumi na mbili tena kwa kugombana sana na mimi ndiyo kanyowa hivi mdada huyu anamanishaga nini? Au nini hasa sababu ya kugoma kunyoa?
Naombeni msaada hata wa mawazo nimfanyeje? Au niachane naye tu?
Msaada jamani