Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 882
- 1,697
Wewe juzi kati si jina lilisima kwenye mkeka wa mama au?Dah! ujobless mbaya sana.
Hatujasahau ujue
Wewe juzi kati si jina lilisima kwenye mkeka wa mama au?Dah! ujobless mbaya sana.
Unajuaje kama baadaye atatokea rafiki yake huyu was sasa unayempenda, ukampenda zaidi take?!dah! yani cjawah kupenda kama nilivyompenda, hajui tu.