Afuate huu ushauri, atakushukuru sana!Acha ujinga mkuu, toka nduki na usigeuke nyuma.
Maana kuna maswali mengine ya kipuuzi sana. Mtu anaona kabisa aliyepo mbele yake ni Simba, halafu anakuuliza huyu anaekuja ni simba ama samaki?!Wee unaonaje kwani anafaa au hafai tusije tukakusemea
Umedadavua vizuri sana. Unamuoa mtu ukiwa na makovu ya kisaikolojia halafu unategemea muwe na ndoa yenye amani na furaha. Ngumu sana!Mabinti bwana. Sasa kuna situations kama hizi. Anafanya matukio kama haya halafu anakuwa anaendelea kubembeleza jamaa aendelee kuwa nae.
Wakishaingia ndoani na kuzaa jamaa yule shetani wa hasira ya wivu, na matukio aliyofanyiwa na mwanamke vinakuja kumvaa tena. Anaanza kumbadilikia mwanamke na kuanza kumpa kichapo, matusi na kila aina ya udhalilishaji.
Wakati huo binti umri umeshaenda hana tena mvuto wa kuwa na mwanaume mpya na yeye ndio anajifanya amestaarabika na ameacha umapepe.
Jamii ikitazama tukio wanasema jamani wanaume ni makatili na ni wanyanyasaji. Kumbe hawajui kuwa mkorofi na ABUSER namba moja ni mwanamke. Sababu kipindi jamaa akiwa na mapenzi ya ukweli juu yake yeye alikuwa anamfanyia matukio ya kiudhalilishaji na kumletea msongo wa mawazo mwanaume wake sababu enzi hizo za usichana attention ya wanaume ilikuwa kubwa sana. Na yeye aliitumia vibaya.
Maswala ya unyanyasaji wa kijinsia huwa yanatazamwa kinafiki sana. Na siku zote mwanamke huonekana mstaarabu na hajasababisha chochote. Ila mwanaume anaonekana mwehu kakurupuka tu ghafla na kuanza kuchukia mke wake.
Natamani ku-like hii comment zaidi ya mara moja, tatizo hiyo option haipo [emoji848]Mabinti bwana. Sasa kuna situations kama hizi. Anafanya matukio kama haya halafu anakuwa anaendelea kubembeleza jamaa aendelee kuwa nae.
Wakishaingia ndoani na kuzaa jamaa yule shetani wa hasira ya wivu, na matukio aliyofanyiwa na mwanamke vinakuja kumvaa tena. Anaanza kumbadilikia mwanamke na kuanza kumpa kichapo, matusi na kila aina ya udhalilishaji.
Wakati huo binti umri umeshaenda hana tena mvuto wa kuwa na mwanaume mpya na yeye ndio anajifanya amestaarabika na ameacha umapepe.
Jamii ikitazama tukio wanasema jamani wanaume ni makatili na ni wanyanyasaji. Kumbe hawajui kuwa mkorofi na ABUSER namba moja ni mwanamke. Sababu kipindi jamaa akiwa na mapenzi ya ukweli juu yake yeye alikuwa anamfanyia matukio ya kiudhalilishaji na kumletea msongo wa mawazo mwanaume wake sababu enzi hizo za usichana attention ya wanaume ilikuwa kubwa sana. Na yeye aliitumia vibaya.
Maswala ya unyanyasaji wa kijinsia huwa yanatazamwa kinafiki sana. Na siku zote mwanamke huonekana mstaarabu na hajasababisha chochote. Ila mwanaume anaonekana mwehu kakurupuka tu ghafla na kuanza kuchukia mke wake.
Leo tarehe 13 april 2022, nasema kuwa nimepata somo kidogo kuhusu unyanyasaji wa hawa wanawake na inakuja kidogo kama inakataa ila ngoja ntarudi kuthibitisha hilo.Mabinti bwana. Sasa kuna situations kama hizi. Anafanya matukio kama haya halafu anakuwa anaendelea kubembeleza jamaa aendelee kuwa nae.