Ukizaa na mwanamke nje ya ndoa yako bila mpango wa kumuoa hapoumelikoroga.Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ingawa kipindi hicho nilikuwa nina mke wangu
Katika kudate kwetu nilimuweka wazi, kuwa ingawa tupo kwenye mahusiano ila ujue nina mke,akasema haina shida
Katika mahusiano yangu na yake tulifanikiwa kupata mtoto,ambapo hata kadi ya clinic jina la mtoto ,baba wa mtoto aliandikwa ni Mimi
Baada ya miezi tisa huyu mwanamke alienda masomoni,akiwa masomoni,kwa kweli alipunguza mahusiano na Mimi,awali amejiunga na chuo nilikuwa naenda kumuona ila baadae nikaona kuna dalili ya jamaa kuchukua nafasi
Nilipofuatilia mbona unafanya hivyo na tumezaa mtoto,akasema mtoto sio wangu,niachane nae
Ikabidi nikae pembeni,baada ya miaka 2, huyu mwanamke siku moja akanitumia SMS kuwa,"Baba fulani(jina la mtoto wake) hata kumjulia hali mwanao hamna,miaka hiyo yote jamani!
Nimeshindwa nimjibuje huyu mwanamke
Bora angeniambia mtoto ni wako,ila sihitaji mahusiano na wewe,kama ni mtoto utakuwa unamtumia matumiziUkizaa na mwanamke nje ya ndoa yako bila mpango wa kumuoa hapoumelikoroga.
Mwanamke huyo akikuletea maneno ya ajabu, au mtoto akikua na kuwa mtu valuvalu kwa sababu hajalelewa na mapenzi ya baba, hapo ukubali kulinywa ulilolikoroga tu.
Maana hamna jinsi.
DuhAfuu acheni upuuzi wanaume wengine... Wewe upo na mwanamke mmezaa mtoto mnafanana mpaka kuchaa...tokana na starehe zake na kutaka kuwa huruuu kudangaa anakwambia mtoto sio wakoo kwa Hasiraa unakubali kirahisi tu!????? labda Kama humtaki huyo mtoto ilaa mwanamke akiwa na hasiraa anawezaa sema chochotee baadae akili zikimjia ndo analetaa hayo mamboo.. so Kwanza fanyaa kipimo cha macho...ukiwezaa DNA afuu tuliaa
Hasira ya miaka miwili uhuhuhuAfuu acheni upuuzi wanaume wengine... Wewe upo na mwanamke mmezaa mtoto mnafanana mpaka kuchaa...tokana na starehe zake na kutaka kuwa huruuu kudangaa anakwambia mtoto sio wakoo kwa Hasiraa unakubali kirahisi tu!????? labda Kama humtaki huyo mtoto ilaa mwanamke akiwa na hasiraa anawezaa sema chochotee baadae akili zikimjia ndo analetaa hayo mamboo.. so Kwanza fanyaa kipimo cha macho...ukiwezaa DNA afuu tuliaa
Mtoto huna mawasilianonaye kwa muda wote huo, simaanishi vibaya, lakini unajua kwamba anaweza kufariki kwa kukosa uangalizi mzuri wa wazazi akawa si wako wala wake na hayupo tena duniani?Bora angeniambia mtoto ni wako,ila sihitaji mahusiano na wewe,kama ni mtoto utakuwa unamtumia matumizi
Mipango ilikuwepo,kuwa dini yetu inaruhusu ,hapo baadae baada ya kumaliza chuo tungeoana maana na dini inaruhusu,ndo akafika chuo akabadilikaMtoto huna mawasilianonaye kwa muda wote huo, simaanishi vibaya, lakini unajua kwamba anaweza kufariki kwa kukosa uangalizi mzuri wa wazazi akawa si wako wala wake na hayupo tena duniani?
Ulivyomtia mimba huyu mama ulikuwa na mpango gani na huyu mtoto? Na ulijihakikishiaje kwamba kizungumkuti hiki hakitakukuta?
Au ulikuwa hufikirii mbele?
Ukishazaa na mwanamkemwingine, hujamuoa, unamke wako, hujamuhudumia mtoto, huna mawasiliano muda mrefu, ushakubalihuyo mtoto si wako.Afuu acheni upuuzi wanaume wengine... Wewe upo na mwanamke mmezaa mtoto mnafanana mpaka kuchaa...tokana na starehe zake na kutaka kuwa huruuu kudangaa anakwambia mtoto sio wakoo kwa Hasiraa unakubali kirahisi tu!????? labda Kama humtaki huyo mtoto ilaa mwanamke akiwa na hasiraa anawezaa sema chochotee baadae akili zikimjia ndo analetaa hayo mamboo.. so Kwanza fanyaa kipimo cha macho...ukiwezaa DNA afuu tuliaa
Kwa kweli haya mambo wanaume tunatelezaMnachepuka hadi kuzaa juu tulieni na ndoa zenu