Hii comment yako imetitega nijielezee ningesema niyajibu mojamoja nami mjanja kama wewe 🤣🤣🤣🤣🤣1.Unakunywa pombe,
2.Rangi yako nyeusi
3.umri wako umevuka 30 bado ndoa haieleweki
4.mapaja yako karibia na kijiji meusi [emoji3][emoji3][emoji3]
5.Mrahisi kupanic hata kwa ishu ndogo
6.Muoga wa maisha
7.Una vidonda vya tumbo
8.Unapenda mwanaume awe anakusikiliza wewe tu la sivyo unamuona hakufai.
9.Unapenda kupiga virungu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahah yaan huyu tumpe tu pole kwa anayopitia ..yaan mke anashindia dera wiki nzima hadi anakuja huku jf kulalamika...halafu anatufananisha na mke wake..sisi hatumcheki huyo mke wake Ila tu kama mkewe ndiye yuko rough apambane tu na hali yake kwa kwelina inaelekea mkewe ni mchafu na anashindia dera moja wiki nzima ndomana amekuja kulalamika na kumkashif mkewe hapa kwenye Comments, maana alijuaje kuna wanawake hawabadilishi dera kama hajaexperience hayo ndani ya nyumba yake [emoji23][emoji23] alitaka tumshangilie kukashif wanawake eti kwakua sisi hatupo hivo ili tuambiwe adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Hakuna anaeijua kesho yake,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu ni adabuless kabisa..ana maneno machafu kama yanatoka chooni..sema siyo mbaya hata mama yake Nina na shangazi zake imani wana hayo maumbile ambayo mwanaye anayapondea.Anataka tumuogope na tumpongeze kwa kukashif wanawake. Utakuta mamaake mzazi ana sifa zote hizo alizoziandika hapo. Hana adabu huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahah yaan huyu tumpe tu pole kwa anayopitia ..yaan mke anashindia dera wiki nzima hadi anakuja huku jf kulalamika...halafu anatufananisha na mke wake..sisi hatumcheki huyo mke wake Ila tu kama mkewe ndiye yuko rough apambane tu na hali yake kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! Plz niunganishe na huyo mwana nami anipeleke kwa huyo fundi alokutengeneza. Ili hata na mie nikifumwa isiwe noma...ni mwendo wa kurogana tu sahivSiwezi kwa kweli
🤣🤣🤣Mkuu sio mimi ni mleta mada hata mimi nahitaji hiyo nambaHahaha! Plz niunganishe na huyo mwana nami anipeleke kwa huyo fundi alokutengeneza. Ili hata na mie nikifumwa isiwe noma...ni mwendo wa kurogana tu sahiv
Achana naye Wengine tunaipenda hiyo michirizi ya utamSasa ww mtu akicomment kutetea wanawake una assume kwamba hajipendi, hana mwili mzuri, unanijua mm au unanifananisha na mkeo? Naona unaorodhesha sifa za mkeo tu hapo. Usilolijua sawa na usiku wa Giza! Inaonekana mkeo ana mabaka mapajani ndomana unalaumu wanawake, pole sana.[emoji20]
Sent using Jamii Forums mobile app