Huyu mwanamke ameniroga,,,

Huyo ka kubuhu had Mtandao pendwa hafu hana akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hilo sina hakika, ujue issue ya kutulia ni mpaka yeye aamue. Kama siku zote unamfumania yeye bado unasubiri nini!? Mpige chini hamia kwingine. Ukicheza huo ukimwi atauleta kweli
Siwezi kwa kweli
 
Mengine kama hayo maziwa kulala na tumbo kuwa na makunyanzi yanakuja kama matokeo ya kuzaa kwa hiyo mke wako utamkimbia kisa amekuwa hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…