Huyu mwanamke ameniroga,,,

Hahaha hapa ndo dada zetu kukosa confidence kwa maneno haya duh
 
Hahahaaaaaaa daah huyo ni kiboko tena inaonyesha amekubuhu haswaaa
Ulikumbuka lkn kumpa pesa yake ya nauli?

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Kweli kakuroga. Kuna mdada wa Tanga akiniambia kule kwao hizo zipo sana. Kwake inasimama na huchoki ila jwa wengine jogoo hapandi mtungi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo/mpenzi wako ana kazi aisee siku mkitofautiana sijui inakuwaje una maandishii machafuuu zaidi ya kinyesi huna uwezo wa kuumba hata sisiminzi ukute wewe ni mbovu tu.
Yaani anavochambua mwili wa mwanamke utakuta yee mwenyewe ana kitambi kama furushi la mavi ila mwanamke wake anavumilia tu kitambi [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kandambili ni baada ya kunyonyesha watoto wenu
 
Very sad

Sent by Diaspora
 
Labda wewe ulimpata katika mazingira gan? Na ulitumia mda gan yaan process nzima ya kumtongoza had kumpata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…