Huyu mwanafunzi noma..

Joined
May 13, 2013
Posts
88
Reaction score
43
Kuna mwanafunzi mmoja alikua kimbelembele sana kwenye kujibu maswali ili apate maujiko kuwa anaakili sana siku mmoja alijikuta akimzimisha mwalimu wake kwa mshangao ilikua hivi,mwalimu:Nani anaweza kunitajia aina mbili za kofii(kahawa/coffee)? Mwanafunzi:hilo swali rahisi sana aina hizo ni kofi olomide na kofi annan"mwalimu hapohapo chali wanafunzi wengine walibaki wanacheka tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…